Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Baada ya Kuachana na Mbunge wa Donge,Wastara Arudiana na Mpenzi Wake wa Zamani.Fahamu zaidi hapa.
Mwigizaji Wastara aliwahi kuingia kwenye vichwa vya habari Tanzania
kutokana na ndoa yake kuvunjika ndani ya siku 80 akiwa kaolewa na Mbunge
wa Zanzibar.
Kabla ya ndoa hiyo Wastara alikuwa kwenye uhusiano na mshikaji ambaye ni
staa wa Bongo Movie pia ambaye anaitwa Bondi, sasa basi baada ya
taarifa kuenea katika mitandao mbalimbali kwamba amerudiana na Bondi leo
ameyazungumza haya juu ya taarifa hizo.
‘Unajua watu hawajui tulipotoka yule ni mtu wangu wa muda mrefu ni
makosa yake tu alinikosea ndio sababu ya mimi kuachana naye na ndipo
nikaamua kwenda Zanzibar kuolewa yakatokea yaliyotokea na sasa niko na
Bondi yaani nimerudiana naye nimesamehe yaliyopita kwasasa tuna kama
miezi miwili tangu turudiana katika uhusiano wetu’
Related Posts:
Italy hajulikani Alikiba wala Diamond - Hussein Machozi.Msanii wa muziki, Hussein Machozi, amefunguka kwa kudai kuwa, hakuna
msanii wa muziki kutoka Tanzania ambaye anajulikana nchini Italy.
Aidha amedai muimbaji kutoka Kenya, Stella Mwangi ambaye anaishi nchini
Norway, … Read More
PICHA:Muonekano mpya wa msanii Diamond platnumz baada ya kunyoa rasta alizokuwa nazo.Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa wa Bongo Flava wanaopenda
fashion. Muimbaji huyo ameamua kubadilisha muonekano wa nywele zake kwa
kuirudia style ya zamani ambayo mashabiki walikuwa wameizoea.
Hitmaker huyo wa ‘Mar… Read More
Makubwa!!! Ndoa ya Nuh Mziwanda Kufungwa Upya.
Ni siku moja tu imepita tangu staa wa Bongo Fleva Nuh Mziwanda kupitia
account ya Instagram kupost picha ya mtoto wake aliyebarikiwa katika
ndoa yake, inadaiwa ndoa hiyo kuingia katika mvutano.
Inasemekana kuwa ndugu wa … Read More
RAY C -Hapa Kazi Tu, Mapenzi Baadaye.
Msanii mkongwe wa muziki, Ray C, amedai kwa sasa anapambana kuhakikisha anafanya vizuri katika muziki wake.
Muimbaji huyo ambaye aliwahi kufanya vizuri kipindi cha nyuma na wimbo
‘Mapenzi Matamu’, alikuwa kimya kwenye … Read More
VIDEO:Yusuph Mlela Amtumbua Live Nay Wa Mitego, Aanika Siri Nzito.
Hali inazidi kuwa mbaya katika beef inayoendelea kati ya mastaa wawili
hapa Bongo, muigizaji mkali Yusuph Mlela na rapper mkali Nay wa Mitego
ambapo Global TV imefanikiwa kukuletea Exclusive interview
inayozungumzia saka… Read More
0 comments:
Post a Comment