Home »
Burudani
» #YALIYOJIRI>>>>Barnaba: Nimeshauza maji, nshafanya kazi kwa mamantilie, nshaitiwa mwizi.Fahamu zaidi hapa.
Anaweza kuwa mmoja wa wanamuziki wa Bongo Flava waliofanikiwa kwa kiasi
kikubwa kwa sasa, lakini Barnaba amepitia mengi. Ameshawahi kufanya
karibu kila kazi unayoweza kuifikiria.
“Kabla ya kuanza huu muziki nishauza maji, nshauza mamantilie,
nishakuwa fundi makenika,” Barnaba alikiambia kipindi cha The Playlist
cha Times kinachoendeshwa na Lil Ommy hivi karibuni.
“Nishaitiwa mwizi, nshauza siso, nshauza vyuma, nshakuwa fundi umeme, nshakuwa fundi nyumba,” aliongeza.
Alidai kuwa kuna wakati alikuwa akilala kwenye makuti katika kibanda
kilichokuwa nje ya studio ya dada aitwaye Nzela baada ya kufukuzwa THT.
Msikilize hapo chini.
Related Posts:
Picha: Kim Kardashian arudi tena na picha za utupu kwenye Cover la jarida la GQ (18+).Fahamu zaidi hapa.Kim Kardashian amerudi tena na picha za utupu
kwenye cover la toleo jipya la jarida namba moja la mitindo, jarida la
GQ, toleo hili limepewa jina la “Love, Sex, and Madness”
Hii ni mara ya kwanza Mama… Read More
KUMBE MASANJA MKANDAMIZAJI UTAJIRI WAKE ANAUPATIA HUKU…VIJANA TUMUIGE.Fahamu zaidi hapa.
Msanii wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji ameshare picha
kadhaa kwa mashabiki wake wa kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha jinsi
anavyowajibika akiwa shambani kwake.
Mchekeshaji huyo ambaye pia ni mjasiri… Read More
Huu ni uthibitisho kutoka kwa Babu Tale kuwa Chidy Benz kajiunga Rasmi WCB..Fahamu zaidi hapa.Inawezekana sana kuwa Chidi Benz amejiunga rasmi na lebo ya WCB, hii inatokana na Meneja wa Babu Tale kuandika Maneno yanayothibitisha kuwa Chidy Benzi sasa yuko kwenye himaya hii yenye nguvu katika Muziki wa Tanzania.
&nb… Read More
Aslay na Ruby wasema kuwa hawana uhusiano, wadai ilikuwa kiki tu.Fahamu zaidi hapa.Aslay na Ruby ameibuka kutolea ufafanuzi tetesi zilizoibuka za kuwa wana uhusiano wa kimapenzi.
Tetesi hizo zilianza baada ya wenyewe kuanza kupostiana na caption za
utata zilizopelekea mashabiki kuamini wawili hao wa… Read More
Kuna collabo ya Vanessa Mdee, Patoranking na Dj Maphorisa inakuja.Fahamu zaidi hapa.Tanzania meets Nigeria meets SA. Vanessa Mdee, Patoranking na Dj Maphorisa wanatarajia kuachia wimbo wao wa pamoja.
Vee Money ambaye kwa sasa yupo Kenya, ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo utatoka hivi karibuni.
Alishare pi… Read More
0 comments:
Post a Comment