Home »
Burudani
» #YALIYOJIRI>>>>Hakuna Msanii Bongo Mwenye Vigezo vya Mwanaume Ninayemtaka – Shilole.Fahamu zaidi hapa.
Kwa mujibu wa Shilole, hakuna msanii Bongo aliye na vigezo vya mwanaume anayemhitaji kwa sasa.
“Hakuna hata mmoja,” Shilole alimjibu mtangazaji wa Kings FM, Prince
Ramalove aliyemuuliza kama kuna msanii wa Bongo kwenye vigezo
anavyovitaka.
Awali alitaja vigezo hivyo kuwa ni, “Upate mtu ambaye anakupenda kwa
dhati, mchapakazi, ambaye anajua kwamba maisha ni nini,” alisema Shishi.
Kingine alisema kuwa mwanaume huyo awe mrefu. Shilole alikuwa na
uhusiano maarufu na Nuh Mziwanda kabla ya kuachana na kuwafanya wawe
maadui kwa muda. Kwa sasa wameamua kuziweka tofauti zao pembeni.
Related Posts:
Mapacha Waishi na Mwanamme Mmoja Kwa Furaha.Fahamu zaidi hapa.
MAPACHA
wawili wa kike wanaofanana, waitwao Anna na Lucy, wameamua kuishi na
mwanamme mmoja aitwaye Ben Bryne mwenye umri wa miaka 32 huko Perth,
Australia.
Wanawake
hao wanaishi na mwanaume huyo mmoja kwa kipin… Read More
Baada ya Soulja Boy Kumpata Mwalimu Mayweather, 50 Cent Amvuta Mike Tyson Kumtrain Chris Brown.Fahamu zaidi hapa.
BAADA YA SOULJA BOY KUMPATA MWALIMU
MAYWEATHER, 50 CENT AMVUTA MIKE TYSON
KWA AJILI YA KUMTRAIN CHRIS BROWN
It’s going down for real, pambano la ngumi kati ya Chris Brown na Soulja
Boy linazidi kuwashawishi watu maarufu k… Read More
Mashabiki wa muziki Kenya wamlilia Darassa.Fahamu zaidi hapa.
Mashabiki wa muziki wa nchini Kenya wamemlilia Darassa. Hilo
limedhihirika katika ujumbe aliouandika muimbaji wa nchi hiyo, Nyota
Ndogo kwenye mtandao wa Instagram.
Kupitia mtandao huo, Nyota Ndogo aliweka picha… Read More
Diamond kufunika ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2017’.Fahamu zaidi hapa.
Ule
wimbo unaosikika mtaani wa ‘pesa kupotea mifukoni’ haumhusu Bosi wa
WCB, Diamond Platinumz anayeendelea kuzihesabu ‘deals’ kubwa zaidi za
matukio ambayo dunia nzima inayaangalia kwa macho yote.
Siku
chache baada… Read More
AY amtaja R Kelly wa bongo.Fahamu zaidi hapa.
Rapa
mkongwe bongo AY amefunguka na kumtaja msanii wa Rnb kutoka Tanzania
Ben Pol kuwa ndiye mfalme wa Rnb kwa Afrika Mashariki, Kusini mwa jangwa
la Sahara na Afrika Mashariki na kati.
Mbali
na hilo AY amemfananisha B… Read More
0 comments:
Post a Comment