September 23 2016 Diamond Platnumz aliingia kwenye headlines baada ya kupost Nyumba ambayo aliandika kuwa ni zawadi kuwa Mpenzi wake ambaye ni Mrembo Zari, Baada ya Diamond Platnumz kupost Nyumba hiyo ambayo iko South Africa zimepita siku saba na amehojiwa na kipindi cha Weekend Chat Show na kazitaja Gharama alizonunulia Nyumba hiyo. Tazama Hapa:
Saturday, 1 October 2016
Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>DIAMOND Platnumz Ametaja Gharama Alizonunulia Nyumba South Afrika.Fahamu zaidi hapa.
#BURUDANI>>>>DIAMOND Platnumz Ametaja Gharama Alizonunulia Nyumba South Afrika.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
Mr Nice Azushiwa Janga Lingine Nchini Kenya. Msanii wa mkongwe wa muziki, Mr Nice ambaye kwa sasa anaishi nchini Kenya amekuwa alizushiwa mambo mabaya na vyombo vya habari kila kukicha ambapo Jumatatu hii katika sherehe za kuapishwa kwa Sonko amezushiwa kitu kingin… Read More
Roma: Mimi si Kada wa CHADEMA na Sijawahi Kuwa Kada wa Chama Chochote. Msanii Roma Mkatoliki ambaye anaimba muziki wa Hip hop kwenye game ya bongo, amekikana chama cha CHADEMA na kusema kuwa hajawahi kuwa mwanachama wa chama hicho kama ambavyo wengi wanaamini, na hajawahi kuwa mwanachama wa… Read More
Jeshi la Polisi Lawaonya Wakina Amber Lulu na Wengine Wanaopiga Picha za Utupu na Kuzirusha Mitandaoni. Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam limetoa onyo kwa watu wanaopiga picha za utupu na kuzirusha mitandaoni, huku likisema kuwa litawachukulia hatua watu hao kwani wanavunja sheria. Akizungumza na mwandishi wa … Read More
Roma Mkatoliki Amtetea Mkewe...'Mke Wangu Kupost Instagram Atanipa Staili zote Hajakosea'. Msanii Roma mkatoliki akihojiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo EA Radio amesema aliulizwa ni staili ngapi mkewe amempa, akasema kwa kuwa neno style lina herufi nne basi ni staili nne Alipoulizwa mkewe hajashtuka alipoona… Read More
Wema Sepetu na Idriss Wamerudiana? Hichi Hapa Kaandika Wema Kuhusu Idriss Sultan, na Idriss Akaandikiwa Pia. Moja ya stori inayoenea kwa sasa kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu hii ya Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ambaye hakuficha hisia zake na kuziweka wazi kwa kuandika ujumbe kwenye Instagram yake kuhusu Idriss Sultan. Ka… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment