Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Wastani wa Kiasi Cha Fedha Ambacho Mwanamuziki Diamond Huingiza Kwa Siku.Fahamu zaidi hapa.
Maneno mengi sana yamesemwa kuhusu kiasi cha fedha analichonacho Naseeb
Abdul a.k.a Diamondo Platnumz na vile vile unaweza kumuita Chibu Dangote
au Baba Tiffah, na wengine kufikia hatua ya kusema anaweza kuwa ndiye
msanii tajiri Afrika Mashariki kwa sasa.
Inasemekana kwamba, kwa kuangalia yote anayoyafanya msanii huyo unaweza
kuwa na mwanga kiasi fulani wa kujua anaingiza kiasi gani.
Diamond Platnumz, kwa siku anaingiza wastani wa Sh. milioni 20 kutokana
na kupakuliwa kwa nyimbo zake zilizoko kwenye mitandao: Kumbuka hii ni
pembeni kabisa na shows anazofanya au malipo anayopokea kutoka kwenye
makapuni anayoyafanyia matangazo kama Vodacom, Red Gold na NMB.
Na mpaka hapo utaamini sasa ule usemi wake wa siku zote kwamba muziki ni
biashara! Na wasanii wengine hawana budi kumuiga Diamond Platnumz, wawe
na wivu wa maendeleo na sio kutamani kumshusha alipo sasa.
Related Posts:
Mwimbaji Rose Mhando Awashukia Wanaomsema Vibaya.
STAA wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amefunguka kuwa, haogopi watu
wanaomsema kwa ubaya kila kona bali anaangalia kile kilichomsababisha
kuwa mwimbaji ambaye nyimbo zake zinawabariki wengi.
Rose aliliambia Wikienda kuw… Read More
VIDEO:Nikki Mbishi Atoa Video na Kuwadiss Waliodai Kutekwa, na Bashite.
Mwanamuziki wa miondoko ya kufoka foka, Nikki Mbishi au muite Baba
Malcom amechia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Kama
Unatafuta Kiki.
Wimbo huu umewa-diss wasanii mbalimbali nchini ambao anadai kuwa wana… Read More
Diamond Platnumz Aweka Wazi Ufreemanson Wake.
Nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ ameendelea
kuzua maswali kuwa ni memba wa jamii ya siri inayodaiwa kumwabudu
shetani, Freemason au La? tetesi hizo zilianza kitambo lakini sasa
zimeshika kasi b… Read More
Good News: Ali Kiba Atangazwa Kuwa Mmiliki wa Kampuni ya Rockstar4000.
GOOD NEWS: #DirectorKiba ;
Baada ya kufanya kazi na kampuni ya usimamizi wa kazi zake ya
#Rockstar4000 kwa takribani miaka 6, usiku wa jana King Kiba alitangazwa
rasmi kuwa sehemu ya wamiliki wa kampuni ya #Rockstar4000 … Read More
MAMENEJA Sallam SK, Babu Tale, Mkubwa Fella, Wamesusa Wasanii wao Wanabanana WCB Kwa Diamond.
Nakumbuka babu tale ndie mwanzilishi na meneja wa tip top connection
kina madee, keisha, tunda, dogo janja etc... naona amekimbia lebo yake
anabanana WCB.
sallam nakumbuka ni meneja wa AY naona kamkimbia anabanana na WCB… Read More
0 comments:
Post a Comment