Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>Haya Hapa Majina ya Makampuni na Wafanyabiashara Waliochangia Maafa ya Tetemeko la Ardhi Kagera Pamoja na Kiasi Walichotoa.Fahamu zaidi hapa.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongea na Mabalozi na Wawakilishi wa
wafanyabishara Ikulu jijini Dar es Salaam kutoa taarifa ya tatemeko la
ardhi na maafa yaliyotokana tarehe 10 September 2016.
Waziri Majaliwa amewaomba wawakilishi hao kutoa misaada mbalimbali ili
kuungana na Serikali kuwasaidia walioathirika mkoani Kagera.
Baadhi ya Taasisi na Balozi zilizo ahidi kutoa michango ni:-
= TBL Wamechangia Milioni 100
= Azania Group Wanatanguliza Milioni 20
= Wafanyabiashara wa Mafuta wa rejareja watakusanya Milioni 250 na watakabidhi ijumaa ya week hii
= Kagera Sugar wanatoa Milioni 100 na tani 10 za sukari.
= Serengeti wanatoa saruji mifuko 800
= Pepsi Cola 50 Millioni
= Hatiamaye Regnald Mengi anatoa mchango wake wa Milioni 110.
= Protas Ishengoma anatoa msaada wa Milioni 5.
= GBP, MOIL na OILCOM wameahidi kujenga shule mbili (Ihungo na Nyakato) zilizoharibiwa vibaya.
= Puma wanachangia 50 Milioni
= Agusta Tanzania wanatoa Milioni 10
= Camel Oil wanachangia mifuko 1,000 ya Cement
= Tippa waachangia milioni 20
= Orexy wanachangia Milioni 50
= Waislamu wa madhehebu ya Al-Shafy, Ijumaa na Adhuhuri wanachangia Milioni 1.
= Sahara Tanzania wanachangia Milioni 20
Wizara ya Mambo ya Nje watafanya matembezi ili kuhamashisha uchangishaji wa fedha na wataanzia Polisi Oysterbay.
MAJUMUISHO:
Waziri Charles Mwijage nafanya majumuisho ya fedha zilizopatikana ni kama ifuatavyo:
1. Fedha taslimu ni Milioni 646,
2. Ahadi ni Milioni 705,
3. Dola za Kimarekani 10,000
4. Yuro 10,000.
5. Mfuko ya Sementi zaidi ya 2800,
6. Ahadi ya ujenzi wa Shule mbili ndani ya siku 30.
JUMLA KUU, Bilioni 1 na Na Zaidi ya Milioni 300
======
Ahsanteni kwa kuwa nami........
Related Posts:
Taarifa kwa madaktari waliokidhi vigezo kwenda kufanya kazi Kenya.Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,jinsia na Watoto,Idara
kuu ya Aya, inawatangazia madaktari walioomba kufanya kazi nchini Kenya
na sasa kuajiriwa hapa nchini Tanzania, kutakiwa kuripoti kwenye vituo
vyao vya … Read More
Kampuni ya Bia (TBL) yawafuta kazi wafanyakazi 100 ndani ya saa 24.
Kampuni ya Bia ya Tanzania Breweries (TBL), imepunguza watumishi wake takribani 100 ndani ya saa 24.
Kwa mujibu wa taatifa toka kwa watumishi wa TBL, watumishi waliopunguzwa ni wale wa kitengo cha maso… Read More
KUJUA Kusoma na Kuandika Kumemuokoa Makonda Asitajwe Kwenye Orodha ya Wenye Vyeti Feki.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi Bora Mhe. Angellah
Kairuki amebainisha baadhi ya mambo waliyokuwa wameyapa kiupambele
katika zoezi zima la uhakiki wa vyeti feki kwa kusema zoezi halikuweza
kuhusika… Read More
HAYA YALIKUWA MAUAJI YA KUTISHA MKOANI MWANZA, BABA, MAMA NA MTOTO WAUAWAWA KINYAMA BILA HURUMA.
Katika eneo la tukio la mauaji hayo mlango wa nyumba ulikuwa
umefungwa kwa nje, na mara baada ya kufunguliwa maiti ya baba wa familia
hiyo Jonus Elias (44) ilikuwa sebuleni huku ikiwa imechinjwa, nako
chumbani kulikuwa n… Read More
PICHA: Rais Magufuli Awasili Mkoani Kilimanjaro kwa Ziara ya siku Tatu ....Pia Atakuwa Mgeni rasmi katika maadhimisho ya May Mosi.
Rais John Pombe Magufuli leo Aprili 29, 2017 amewasili mkoani Kilimanjaro ambapo atafanya ziara ya kikazi kwa muda wa siku tatu.
Sambamba
na ziara hiyo, Rais Magufuli anatarajiwa kuhudhuria sherehe za Sikukuu
ya Wafanya… Read More
0 comments:
Post a Comment