Najua kuna watu wanafuatilia vitu mbalimbali na gharama zake, naomba nikusogezee TOP 10 ya meli za gharama zaidi duniani, katika list hii namba mbili imeshikwa na meli ya Harmony of the seas ambayo ni meli kubwa ya abiria kwa sasa duniani na imezinduliwa miezi kadhaa tu iliyopita.
Namba moja imeshikwa na meli ya Allure of the Seas na safari yake ya kwanza ilifanyika miaka sita iliyopita Allure of the Seas ndio ilikuwa meli kubwa duniani kabla ya meli ya Harmony of the seas kuwepo.
0 comments:
Post a Comment