Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>>>Baraza la Michezo nchini (BMT) leo limetangaza kutotambua ukodishwaji wa Klabu ya Yanga.Fahamu zaidi hapa.
Sasa kumekucha wapenda michezo wenzangu hii ni kufuatia Baraza la
Michezo Tanzania (BMT) leo limetangaza rasmi kutotambua ukodishwaji wa
Klabu ya soka ya Yanga
Baraza la BMT lasema ni kinyume na Katiba ya Klabu hiyo.
Baraza la michezo Tanzania (BMT) limetangaza kujitambua ukodishwaji wa
klabu ya Yanga kwa kuwa ni kinyume na katiba ya klabu hiyo.
Katibu mkuu wa BMT, Mohammed Kiganja amesema kuwa mkataba huo kati ya
Baraza la Wadhamini wa Yanga na kampuni iliyoikodi klabu hiyo,
haukufuata taratibu.
"Ili Yanga iweze kubadili jina na kuitwa Yanga Yetu ni lazima ipite kwa
msajili. Wao hawajaenda kwa msajili wanaanza kutangaza jina jipya. Huko
ni kupinga katiba," alisema Kiganja.
Related Posts:
#MICHEZO>>>>ARBELOA KUTOKA MADRID AREJA LONDON, SAFARI HII AJIUNGA NA WEST HAM UNITED.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Beki wa Real Madrid, Alvaro Arbeloa sasa rasmi amejiunga na West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu England.
Ingawa
dau lilikuwa halijawekwa wazi, Arbeloa ambaye aliwahi kuishi London
wakati akiichezea Chelsea, ameji… Read More
#MICHEZO>>>SAMMATA AMEFELI MTIHANI WA LESENI YA UDEREVA, ATAENDELEA KUENDESHWA HADI BAADAYE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mshambuliaji
wa Genk, Mbwana Samatta ataendelea kuendeshwa kwa kuwa alifeli katika
mtihani ambao ungemuwezesha kupata leseni ya udereva nchini Ubelgiji.
Kama ilivyo kawaida katika nchi za Ulaya, wanaotakiwa kuendesh… Read More
#MICHEZO>>>>TFF YAMTANGAZA KOCHA MKUU MPYA WA KILIMANJARO QUEENS.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Shirikisho
la Soka Tanzania (TFF) limemteua Sebastian Nkoma kuwa Kocha Mkuu wa
timu ya soka taifa ya wanawake wa Tanzania Bara maarufu kwa jina la
Kilimanjaro Queens ambayo kwa mara ya kwanza inakwenda kushiriki
mash… Read More
#MICHEZO>>>>HATIMAYE DIDA AMPUMZISHA BABA YAKE MZAZI KWAO KILIMANJARO.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Hatimaye kipa namba moja wa Yanga Deogratius Munishi ‘Dida’, amefanikiwa kumsitiri baba yake mzazi.
Dida
alifiwa na baba yake ambaye aliugua muda mrefu. Jana wadau, ndugu,
jamaa na marafiki upande wa mkoa wa Dar… Read More
#MICHEZO>>>>NIGEL DE JONG AAMUA KWENDA UTURUKI, AJIUNGA NA GALATASARAY.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kiungo mkongwe kutoka Uholanzi, Nigel De Jong ametua Galatasaray ya Uturuki hadi mwaka 2018.
… Read More
0 comments:
Post a Comment