Friday 7 October 2016

#YALIYOJIRI>>>>Angalia jinsi ya miundombinu ilivyo alibiwa na Kimbunga nchini Haiti.

 Watu wasiopungua 300 wamekufa kufuatia Kimbunga kilichopewa jina la Matthew baada ya kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu nchini Haiti.

0 comments:

Post a Comment