Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>Trump Amuita Hillary Clinton ni ‘Shetani’.Fahamu zaidi hapa.
Mgombea wa chama cha Republican nchini marekani Donald Trump amemtaja
mshindani wake wa chama cha Democratic Hillary Clinton kuwa ‘shetani’.
Akizungumza kwenye mkutano huko Pennsylvania bwana Trump alimshambulia Bernie Sanders kwa kumuachia nafasi Bi Clinton.
Tajiri huyo alisema kuwa Sanders alifanya makubaliano na ‘shetani’ .
Wanachama wa Democrat na Republican wememkosoa bwana Trump kutokana na
matamshi yake kuhusu wazazi wa mwanajeshi M’marekani muislamu aliyeuawa
vitani nchini Iraq.
Source: BBC
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Climate change cause fish to vanish in Lake Tanganyika.Fahamu zaidi hapa.
Miami: Fish are becoming more scarce in Africa's oldest and deepest
lake, Lake Tanganyika, because of climate warming, not just overfishing,
US researchers said this week.The study on Lake Tanganyika,
which covers parts … Read More
#YALIYOJIRI>>>NW Samsimamisha kazi Mku wa CHuo cha Maendeleo ya Jamii Bunamhala.Fahamu zaidi hapa.
NW Stella Manyanya (kushoto) akitoa maelekezo kwa Kaimu Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Bi. Levina Mrema (kulia).
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhandisi Stella Manyanya
amemsimamisha kazi a… Read More
#BREAKING NEWS>>>HATIMAYE DK.MWAKA AKAMATWA NA POLISI.FAHAM ZAIDI HAPA.
Jeshi la Polisi limefanikiwa kumtia nguvuni Tabibu Juma
Mwaka, maarufu Kama Dokta Mwaka (Pichani), baada ya kumsaka Kwa siku
kadhaa bila mafanikio.
Jeshi la polisi lilikuwa likitekeleza agizo la Naibu Waziri
wa … Read More
#YALIYOJIRI>>>Serikali imepiga marufuku uingizwaji wa makaa ya mawe na gypsum(jasi)kutoka nje ya nchi.Fahamu zaidi hapa.
Serikali
imepiga marufuku uingizwaji wa makaa ya mawe na gypsum(jasi)kutoka nje
ya nchi kwa kuwa yaliyopo hapa nchini yanalitosheleza Taifa.
Hayo
yamezungumzwa na Naibu Waziri wa Nishati na madini Medard Kalemani
katik… Read More
#YALIYOJIRI>>>Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea kiwanda cha kutengenezea suruali za Jeans.Fahamu zaidi hapa.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ushonaji wa suruali za Jeans wakati
alipotembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo
la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agosti 10, 2016.
Kulia … Read More
0 comments:
Post a Comment