Baadhi ya wanachama wa Yanga, wamepata ajali mbali ya gari.
Bahati nzuri, wote wamefanikiwa kutoka 
salama katika ajali hiyo iliyotokea katika eneo la Mwidu, wakiwa njiani 
kwenda Mbeya kuiwahi mechi kati ya Yanga dhidi ya Mbeya City, kesho.
Baadhi ya viongozi waliokuwa katika gari 
hilo dogo aina ya Suzuki Vitara ni kamati ya mashindano na ya Utendaji 
ya Yanga, Omary Said, Bakili Makele na Seif Chuma walikuwa ndani ya gari
 hilo.
Makele amethibitisha wao kupata ajali hiyo na kusema wameamua kuahirisha safari.
 














 




 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment