TUNDA Aanika Kila Kitu Juu ya Mahusiano Yake Na Young D.
VIDEO queen matata Bongo, Tunda Sebasita ‘Tunda’ hivi karibuni ameibuka
na kumkana aliyewahi kuwa mpenzi wake David Ganzi ‘Young D’ kuwa si
mwanaume hasa aliyewahi kutamani kuwa naye huko nyuma na juu ya uhusiano
wao ni…Read More
Lulu Diva afunguka kushea Penzi na Shangazi Yake.
Ubuyu wa kutisha! Jipu limepasuka mjini kuwa muuza nyago na msanii wa
Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amekiri kushirikiana ‘kushea’ penzi
la bwana mmoja na shangazi yake pamoja na shosti yake wa karibu.
Kwa mujibu wa…Read More
0 comments:
Post a Comment