Saturday, 12 November 2016

#YALIYOJIRI>>> Askari Polisi ajipiga risasi akiwa lindoni, Mwili wake kusafirishwa kwenda Mwanza.Fahamu zaidi hapa.

Askari Polisi aliyejulikana kama PC Sengerama, depo mpya ya juzi amejiua kwa silaha akiwa eneo la kazi chanzo hakijajulikana huko Mtwara. 

Mwili wake uko njiani unasafirishwa kupelekwa nyumbani kwao mkoani Mwanza kwa ajili ya maziko.

R.I.P Kamanda.

 


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi

Bonyeza Hapa CLICK HERE
 

0 comments:

Post a Comment