Tumekuwa tunapokea simu nyingi kutoka kwa waandishi wa habari, na pia kuna wengine wamefika mpaka ofisini, kuuliza au kuja kuhudhuria kikao baina yao na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Abdulrahman Kinana, asubuhi hii.
Napenda
kuwafahamisha kwamba hata sisi wenyewe tumesoma tu tangazo hilo kwenye
moja kati ya post za humu, hivyo naomba msihangaike nalo kwa sababu ni
uzushi.
Katibu Mkuu mwenyewe yupo safarini nje ya nchi karibu wiki nzima hii.
Nawasilisha kwenu kwa taarifa sahihi.
Charles Charles
Idara ya Itikadi na Uenezi
Tarehe 24 Machi, 2017
Napenda kukanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kwamba Katibu Mkuu wa CCM Komrade Kinana atakuwa na Mkutano na waandishi leo. Asante— Humphrey Polepole (@hpolepole) March 24, 2017
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment