Jana Rais Magufuli alitengua uteuzi wa Nape Nnauye na nafasi yake akapewa Dr. Mwakyembe.
Baadaye
Nape Nnauye alitoa taarifa kuwa atazungumza na waandishi wa habari
lakini Meneja wa Hotel ambayo mkutano ulitakiwa ufanyike alisema
ameagizwa kuwaambia waandishi watawanyike na hakutakuwa na mkutano.
Nape alilazimika kuzungumza akiwa juu ya gari lake.Hata hivyo, polisi waliingilia kati
Leo asubuhi kupitia ukurasa wake wa twitter, ametoa ujumbe kwa wanahabari nchini ambapo ameandika: "Wanahabari
mme GUSA sana moyo wangu!Sikujua kama mnanipenda na kunithamini kiasi
KILE!Nawashukuru SANA kwa kujitolea kwenu!Nawapenda SANA!"
Wanahabari mme GUSA sana moyo wangu!Sikujua kama mnanipenda na kunithamini kiasi KILE!Nawashukuru SANA kwa kujitolea kwenu!Nawapenda SANA! pic.twitter.com/MjXwt3ZC0M— Nape Moses Nnauye (@Nnauye_Nape) March 24, 2017
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment