Paulinho
aliyeonekana ameshindwa kabisa akiichezea Tottenham ya England,
amefunga mabao matatu au hat trick na kuisaidia Brazil kuitwanga Uruguay
mabao 4-1 kwao.
Ushindi
huo umeifanya Brazil kufikisha pointi 30 ikiwa kinara wa kundi na
kujisogeza kabisa katika nafasi ya kufuzu kucheza Kombe la Dunia.
Bao moja la Brazil kukamilisha manne lilifungwa na nahodha Neymar na upande wa Uruguay alifunga Endnson Cavani.
Uruguay: Silva; Pereira, Godin, Coates, Silva; Sanchez (Hernandez 77), Rodriguez, Vecino, Arevalo; Rolan (Stuani 58), Cavani
Subs not used: Gimenez, Conde, De Arrascaeta, Alvaro Gonzalez, Laxalt, Fucile, Urretaviscaya, Campana, Corujo, Lodeiro
Goal: Cavani 9
Bookings: Pereira, Godin, Coates
Brazil: Alisson; Alves, Marquinhos,
Marcelo, Miranda; Casemiro; Coutinho (Willian 86), Augusto (Fernandinho
81), Paulinho, Neymar; Firmino (Souza 89)
Subs not used: Fagner, Dudu, Diego, Filipe Luis, Ederson Moraes, Gil, Thiago Silva, Giuliano, Weverton
Goals: Paulinho 19, 52, 90, Neymar 74
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment