Mh.Nape Moses Nnauye sio jambazi, ni mtanzania, ni mbunge, mjumbe wa NEC
wa CCM, hana record ya uhalifu. Kitendo cha mtu kumtolea Bastola, Sio
cha kiasikari, sio cha kitanzania na sio cha ki Mungu, kama mtu ameweza
kutoa Bastola mbele ya Kamera nawaza mbali ingekuwa kwenye uchochoro
angefanya nini.
Nahusika na Usalama wa Raia wote wa Tanzania, nimemwelekeza IGP atumie
picha kumsaka mtu yule aliyeinua kufanya kitu cha kihalifu kwa kofia ya
uaskari. Na kama ni Askari basi sheria zinazoongoza taasisi husika
zichukue mkondo wake.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment