Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>Olimpiki: Brazil Yaingia Nusu Fainali Kwenye Soka la Wanaume.Fahamu zaidi hapa.
Timu ya soka ya wanaume ya Brazil, imeingia nusu fainali ya michuano ya Olimpiki baada ya kuwachapa Colombia, 2-0.
Goli la kwanza lilifungwa na mchezaji wa Barcelona, Neymar baada ya
kupiga free-kick dakika 12 tu baada ya mchezo kuanza na Luan kuongeza la
pili kipindi cha pili.
Brazil sasa itakipiga na Honduras Jumatano kwenye nusu fainali baada ya
kuwachapa Korea Kusini, 1-0. Ujerumani itavana na Nigeria waliowafunga
Denmark 2-0 na Ujerumani kuwafunga Ureno 4-0.
Related Posts:
Matumaini ya Timu ya Yanga Yazimwa na Mtibwa Sugar.Fahamu zaidi hapa.
YANGA SC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Mtibwa Sugar katika
mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa
Jamhuri, Morogoro.
Sare hiyo inayokuja siku moja baada ya mahasimu wao, Simba
kulaz… Read More
Hans Van Pluijm aweka kambi Dar es Salaam kusubili malipo yake kwa Yanga.Fahamu zaidi hapa.
Hans Van Pluijm apiga kambi Dar es Salaam akisubiri malipo yake ya TZS
milioni 356 anayoidai Yanga baada ya mkataba kuvunjwa- HT @ MTANZANIA
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari… Read More
LIVERPOOL YAINYOOSHA ARSENAL 3-1 NA KUIONDOA TOP FOUR.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Liverpool: Mignolet, Clyne, Matip, Klavan, Milner, Wijnaldum, Can, Lallana, Mane, Firmino, Coutinho (Origi 79)
Subs not used: Karius, Lovren, Moreno, Lucas, Woodburn, Alexander-Arnold
Goalscorers: Firmino 9, Mane… Read More
LWANDAMINA AANZA NA BUSUNGU, YONDANI APEWA NAMBA SITA, KAZI LEO NA MTIBWA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
1. Deo Munishi
2. Hassan Kessy
3. Oscar Joshua
4. Nadir Haroub
5. Vicent Bossou
6. Kelvin Yondani
7. Simon Msuva
8. Justine Zulu
9. Obrey Chirwa
10. Malimi Busungu
11. Emmanuel Martin
SUB:
Ally Must… Read More
Ngoma Huyoo Msimbazi,Wakala Wake Afunguka Mchezo Mzima Jinsi Ulivyo..!!!.Fahamu zaidi hapa.
HII unaweza ukaihesabu kama ni vita mpya baina ya mahasimu wa soka nchini, Simba na Yanga.
Hali hiyo inaletwa na mkakati wa siri
ambao Dimba imeugundua ambapo vigogo wa timu ya Simba wameamua kuingia
vitani kumshawish… Read More
0 comments:
Post a Comment