Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Wema Sepetu: Sirudi Tena Dar.Fahamu zaidi hapa.
Malkia wa filamu Wema Sepetu amelikimbia jiji la Dar es salaam na kuamua
kuanzisha makazi mapya mkoani Arusha kama alivyodai mwenyewe.
Mwigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo mkoani Arusha ameonyeshwa kuvutiwa
na jiji la Arusha na kuamua kuwarusha roho mashabiki wake kwa kuwaambia
kwamba hatarudi tena Dar es salaam.
“My shouger nikimpenda hovyooo, kweli watu tumetoka mbali, huyu ndiye
atakayenifanya nihamie Arusha kwakweli,” aliandika Wema katika picha
hiyo hapo juu akiwa na rafiki yake.
Kadhi siku zinavyozidi kwenda mrembo huyo anaonyesha kuendelea kuvutiwa mji wa Arusha.
“Nirudie nini Dar mie, kurudi Dar majaliwa, na sirudi Dar ng’o,” aliandika Wema katika ujumbe wake wa pili.
Hata hivyo uwamuzi huyo umepokewa tofauti na baadhi ya mashabiki wake katika mitandao ya kijamii.
Haya ni maoni ya baadhi ya mashabiki wake.
Hopeolivier24
Dar bila Wema Itawezekana kweli? Itakuwa manispaa maana jiji unaliamishia Arusha😀😀
Zai_miss
Kwaiyo ushahamia arusha jamani khaaaa vigoma vyako itakuwaje My mmmh ila
umefanya lamaana maana bongo kwa moto arusha Baridi kishezi😂😂😂😂😂
Theonerealdully
Utarudi tuu. Watu wa dar miji mingine hamuiwezi hekaheka zenu na mafoleni mwayapenda hivyohivyo
Andymsalali
jamn kwann, rudi bhana, tumekuzoea wenyew kukuona dar
Zeyaabdallah
Wema Rudi home coz matatizo hayakimbiwi dadaangu mpenz Wang.sawa Bali unatakiwa uyakabi
Bongo5
Related Posts:
Diamond kufunika ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2017’.Fahamu zaidi hapa.
Ule
wimbo unaosikika mtaani wa ‘pesa kupotea mifukoni’ haumhusu Bosi wa
WCB, Diamond Platinumz anayeendelea kuzihesabu ‘deals’ kubwa zaidi za
matukio ambayo dunia nzima inayaangalia kwa macho yote.
Siku
chache baada… Read More
Mapacha Waishi na Mwanamme Mmoja Kwa Furaha.Fahamu zaidi hapa.
MAPACHA
wawili wa kike wanaofanana, waitwao Anna na Lucy, wameamua kuishi na
mwanamme mmoja aitwaye Ben Bryne mwenye umri wa miaka 32 huko Perth,
Australia.
Wanawake
hao wanaishi na mwanaume huyo mmoja kwa kipin… Read More
Baada ya Soulja Boy Kumpata Mwalimu Mayweather, 50 Cent Amvuta Mike Tyson Kumtrain Chris Brown.Fahamu zaidi hapa.
BAADA YA SOULJA BOY KUMPATA MWALIMU
MAYWEATHER, 50 CENT AMVUTA MIKE TYSON
KWA AJILI YA KUMTRAIN CHRIS BROWN
It’s going down for real, pambano la ngumi kati ya Chris Brown na Soulja
Boy linazidi kuwashawishi watu maarufu k… Read More
AY amtaja R Kelly wa bongo.Fahamu zaidi hapa.
Rapa
mkongwe bongo AY amefunguka na kumtaja msanii wa Rnb kutoka Tanzania
Ben Pol kuwa ndiye mfalme wa Rnb kwa Afrika Mashariki, Kusini mwa jangwa
la Sahara na Afrika Mashariki na kati.
Mbali
na hilo AY amemfananisha B… Read More
Mashabiki wa muziki Kenya wamlilia Darassa.Fahamu zaidi hapa.
Mashabiki wa muziki wa nchini Kenya wamemlilia Darassa. Hilo
limedhihirika katika ujumbe aliouandika muimbaji wa nchi hiyo, Nyota
Ndogo kwenye mtandao wa Instagram.
Kupitia mtandao huo, Nyota Ndogo aliweka picha… Read More
0 comments:
Post a Comment