Tuesday, 23 August 2016

#MICHEZO>>>>MASHETANI WEKUNDU WAREJEA MAZOEZINI WAKIWA NA MORALI YA JUU.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Baada ya kuanza msimu vizuri kwa kupata ushindi katika mechi mbili mfululizo za Premier League, wachezaji wa kikosi cha kwanza wa Manchester United walikuwa na mapumziko ya siku mbili, wamerejea mzigoni leo na kuanza mazoezi.

Man United ambayo imezifunga Bournemouth na Southampton katika mechi hizo za kwanza inatarajajiwa kukutana na Hull City, wikiendi inayofuata.

Msimamo wa Premier League ulivyo.


Related Posts:

0 comments:

Post a Comment