Diamond Platnumz ana miaka mingi ya kuvuna mapesa kutokana na show zake.
Kutoka kwenye mapokezi yaliyovunja rekodi, Meru nchini Kenya hadi
kuangusha show iliyohudhuriwa na makumi kwa maelfu ya mashabiki wenye
kiu, staa huyo ameendelea kujiweka kwenye ligi yake mwenyewe. Jionee
Tuesday, 30 August 2016
Home »
Burudani
» #YALIYOJIRI>>>>HAKIKA KWA HII SHOW ALIYO FANYA DIAMOND NCHINI KENYA ..HAWEZI SAHAULIKA KAMWE ..AMEACHA HISTORIA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
#YALIYOJIRI>>>>HAKIKA KWA HII SHOW ALIYO FANYA DIAMOND NCHINI KENYA ..HAWEZI SAHAULIKA KAMWE ..AMEACHA HISTORIA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Related Posts:
#BURUDANI>>> Z Anto Aeleza Kwanini Amekataa ofa ya Kujiunga na WCB ya Diamond.Fahamu zaidi hapa. Msanii wa muziki ambaye aliwahi kufanya vizuri na wimbo ‘Binti kiziwi’, Z Anto amefunguka na kusema kuwa mpaka sasa kuna label zaidi ya nne ambazo zinamuhitaji kufanya naye kazi lakini amekataa kufanya nao kazi. Muimbaj… Read More
#BURUDANI>>>>>Q Chief Ajutia Kujiingiza Kwenye Madawa ya Kulevya.Fahamu zaidi hapa. Ikiwa ni mwaka mmoja toka msanii wa muziki, Q Chief akiri kutumia Madawa ya kulevya na kuamua kuacha mwenyewe, muimbaji huyo bado anaumia akikumbuka jinsi Madawa ya kulevya yalivyomwaribia maisha yake. Muimbaji huyo amba… Read More
#BURUDANI>>>>>Beny Kinyaiya Afungukia Ishu Ya Ushoga, Awaanika Wanaye.Fahamu zaidi hapa. From Global Mtu Kati: Vipi katika kupigapiga ‘gemu za nje’, umewahi kupata mtoto au watoto? Kinyaiya: Yaah! Nina watoto wawili, wa kwanza anaitwa Ben Kinyaiya Junior, ana miaka minne na nusu na wa pili anaitwa Nilla, huyu… Read More
#BURUDANI>>>Roma Asababisha Kushushwa Kwa Stamina Jukwaani Fiesta ...Stamina Afunguka Haya.Fahamu zaidi hapa. September 18 ndio siku ambayo mvua ya burudani ya Fiesta 2016 ilikuwa inashuka katika uwanja wa Jamhuri Stadium mjini Morogoro. Usiku huo jambo ambalo lilimake headlines kinomanoma ni kitendo cha wasanii wawili Roma Mkato… Read More
#BURUDANI>>>Flora Mvungi Kaitaja Kashfa Ambayo Hatoisahau Maishani Mwake.Fahamu zaidi hapa. Ni headlines za msanii Flora Mvungi ambae leo October 19, 2016 amefunguka na kutaja kashfa ambayo hatoweza kuisahau maisha mwake. Mimi sio mgeni macho mwa watu na wengi wananifahamu tabia yangu ikoje na wengi wa… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment