Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>>ALICHO ONGEA WYNE ROONEY BAADA YA KUSIKIA NDUGU YAKE KAPANDA MLIMA KILIMANJARO.FAHAMU ZAIDI HAPA.
August 18 2016 ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa Anthony McLoughlin ambaye ni shemeji wa mshambuliaji wa kimataifa wa England anayeichezea Man United Wayne Rooney, Anthony August 18 alifanikiwa kupanda mlima Kilimanjaro uliopo Tanzania.
Anthony amepanda mlima Kilimanjaro ikiwa kama ni sehemu ya kumkumbuka mdogo wake Rosie
aliyefariki akiwa na umri wa miaka 14 kutokana na matatizo ya rare
genetics disorder (Rett Syndrome) na kuchangisha fedha kwa ajili ya Claire House Charity ambao walikuwa na mchango mkubwa kwa Rosie.
Wayne Rooney
Siku nane baada ya Anthony kupanda mlima Kilimanjaro na kufika kileleni, Wayne Rooney ambaye ni shemeji yake na Anthony alitumia ukurasa wake wa twitter kumpongeza Anthony, kama hufahamu Anthony ni kaka wa mke wa Wayne Rooney ambaye anajulikana kwa jina la Coleen Rooney.
Related Posts:
HII NDIYO KAULI YA YANGA KWA WACHEZAJI WANAOTAKA KUONDOKA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Uongozi wa Yanga, umewataka wachezaji wote wanaotaka kuondoka, kusema mapema.
Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa amesema klabu hiyo kongwe ingependa mambo kwenda kwa mpangilio.
“Kama kutakuwa na mcheza… Read More
YANGA YAKWAMA KUWAPELEKA WAARABU UWANJA WA KIRUMBA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kuna kila dalili Yanga itabaki jijini Dar es Salaam na kucheza na kikosi cha MC Alger kutoka Algeria.
Awali Yanga ilitaka kucheza mechi yake hiyo mjini Mwanza kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, mechi ambayo imepangwa kucheza… Read More
PICHA YA KUANZIA SIKU HII HAPA; AJIBU AKIWATESA WARUNDI WATATU.
Mshambuliaji wa Taifa Stars, Ibrahim
Ajibu akiwatoka walinzi wa timu ya taifa ya Burundi katika mechi ya
kirafiki kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo.
Ajibu ni mmoja wa wachezaji vijana wa Tanzania weny… Read More
RONALDO AMPIGA BAO LIONEL MESSI KWA KIPATO HADI SASA, NEYMAR AMUACHA BALE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameongoza kwa kuwa mwanasoka mwenye kipato zaidi kwa msimu wa 2016-17 hadi sasa.
Ronaldo
tayari ameingiza kitita cha pauni milioni 75.62 na amempiga bao
mpinzani wake mkubwa… Read More
RONALDINHO ATIMIZA NDOTO YAKE YA KUWA MWANAMUZIKI, AACHIA SINGO YAKE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mmoja wa wachezaji gwiji waliowahi kutokea nchini Brazil, Ronaldinho rasmi ameingia kwenye muziki.
Ronaldinho aliyestaafu mwaka 2015, ameibuka na sing mpya aliyoipa nina la ‘Sozinho’.
Mkali huyo aliyewahi kung’… Read More
0 comments:
Post a Comment