Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Belle 9 atinga kambi ya WCB, afanya mazoezi na Diamond.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya vocalist, Rich Mavoko kusaini WCB ya Diamond, huwenda msanii wa
muziki wa R&B kutoka Morogoro, Belle 9 na yeye akasaini ndani ya
label hiyo.
Muimbaji huyo anayefanya vizuri na wimbo ‘Bugger Movie Selfie’
ameonekana akifanya mazoezi ya bendi ya Diamond katika ofisi za WCB.
Kwa mujibu wa kipindi cha Planet Bongo cha EATV, Belle pamoja na Diamond
wameonekana wakiimba wimbo ‘Mdogo Mdogo’ kwa pamoja huku wakicheza.
Hatua hiyo imefufua matumaini mapya kwa mashabiki wa kumuziki kuona
huweza WCB ikamsaini msanii hiyo kama ilivyofanya kwa Rich Mavoko.
Kwa sasa label ya WCB ina wasanii wanne, Harmonize, Rich Mavoko, Raymond aka Rayvany pamoja Queen Darlin.
Related Posts:
Jack Wolper Achukizwa na Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya Mchezaji Ndikumana...Amtolea Mapovu Haya.
Jack Wolper si wa nchi hii Achukizwa na Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya Mchezaji Ndikumana...Amtolea Mapovu Haya.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>… Read More
VIDEO: Barakah Da Prince Akataa Urafiki na Alikiba.
Baada ya kuachana na record label ya RockStar4000, na kuaanzisha label
yake ‘Bana Music’, msanii wa Bongo Flava Barakah The Prince amefunguka
mahusiano yake kwasasa na Alikiba ambapo amesema hajawahi kuwa na
urafiki wa a… Read More
Video: Ebitoke athibitisha kufunga ndoa na Ben Pol.
Baada ya msanii Shilole kutangaza kufunga ndoa wakati wowote, naye
mchekeshaji kutoka Timamu, Ebitoke amedai kuwa anatarajia kufunga ndoa
na mkali wa RnB Bongo, Ben Pol wakati wowote.
Akiongea na Bongo5 Ebitoke ameeleza… Read More
Wakwe Wavunja Ndoa ya Mziwanda...Wamuozesha Nawal Kwa Mwanaume Mwingine Mwenye Pesa Bila Nuh Kutoa Talaka.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nuh Mziwanda ambaye hivi karibuni
kumeibuka minong'ono kuwa ndoa yake imesambaratika, amefunguka kuhusu
hilo na kukiri kuwa kweli ndoa hiyo imekufa bila talaka, huku mke wake
akiwa mbioni… Read More
Dongo Janja: Irene Uwoya Ana Mvuto, Anafaa Kuwa Mpnzi wangu.
Msanii
wa muziki wa bongo fleva, Dogo Janja kwa mara ya kwanza amefunguka
kuhusu mahusiano yake, na kutoa sintofahamu kuhusu kutoka kimapenzi na
muigizaji wa filamu za kibongo Irene Uwoya.
Akizungumza
na East Africa… Read More
0 comments:
Post a Comment