#Breaking NEWS>>>CUF Wamaliza Mgogoro Wao.
DAR: Chama cha Wananchi (CUF) kimesema mgogoro ndani ya chama hicho
kuhusu wafuasi wa Prof. Lipumba na wa Maalim Seif sasa umekwisha, kazi
iliyobaki ni kukijenga chama.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kw…Read More
Meya Ubungo Aendelea Kusota Selo, Wengine Wawili Wapata Dhamana.
Wakati viongozi wawili kati ya watatu wa Chadema waliokuwa wakishikiliwa
polisi wakipata dhamana, mmoja anaendelea kushikiliwa kutokana na agizo
la mkuu wa wilaya.
Katibu wa Chadema Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo am…Read More
Dodoma: Upinzani Wampeleka Spika Ndugai Mahakamani.
Upinzani wamefungua shauri Mahakama Kuu Dodoma wakiiomba mahakama itamke
kuwa Spika ataliongoza Bunge kwa kufuata kanuni za kudumu tu.
Hii ni baada ya Spika kumzuia John Mnyika kuhudhuria bunge kwa wiki moja
ambapo upinz…Read More
0 comments:
Post a Comment