Moja ya stori zinazosambaa kupitia mitandao ya kijamii usiku huu wa 
August 23 2016 ni pamoja na hii inayodaiwa kuuawa kwa askari polisi 
wawili kufuatia tukio la uporaji lililotokea katika bank ya CRDB tawi la
 Mbande, Mbagala.
kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro ambaye amesema…>>’Ni kweli kumetokea tukio la uvamizi hapa mbagala lakini kwa taarifa kamili ntazitoa kesho kwakuwa bado nipo eneo la tukio kwa ajili ya uchunguzi zaidi‘

0 comments:
Post a Comment