Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Diamond Platnumz aikataa Mimba ya Lynn LIVE.Fahamu zaidi hapa.
Msikilize Diamond Platnumz Akikana kabisa kuwa na mahusiano na Mrembo
Lynn, Adai hana mawasiliano naye na wala hawajawahi kumuona tena toka
alivyofanya video ya Kwetu na Raymond..
Msikilize Hapa chini:
VIDEO
Related Posts: #BURUDANI>>>>Show za Mr Blue Fiesta Wengi Wadai Ndio Msanii Bora wa Tanzania Kwa Sasa.Fahamu zaidi hapa.
Kwa mujibu wa Mrisho Mpoto, Harry Sameer, wamjua zaidi kama Mr Blue, anastahili kuwa msanii bora Tanzania.
Mpoto alidiriki kusema hivyo baada ya kushuhudia show ya hitmaker huyo
wa ‘Mboga Saba’ akitumbuiza kwenye Fiesta m… Read More #BURUDANI>>>>Shilole Atoboa Siri ya Kupenda Vijana Wadogo.Fahamu zaidi hapa. Mwanamuziki wa Bongo flava ambaye ana vimbwanga kila siku kwenye
mitandao ya kijamii kwa skendo ya kutoka na vijana walio chini ya umri
wake amefunguka na kusema asipangiwe ni nani wa kuwa naye.
Akiongea mbele ya Camera z… Read More #BURUDANI>>>>Diamond kuwania tuzo 5 za Afrima 2016, Alikiba na Yamoto Band moja.Fahamu zaidi hapa.
Diamond Platnumz ametajwa kuwania vipengele vitano kwenye tuzo za mwaka huu za Afrima.
Vipengele hivyo ni pamoja na Songwriter of The Year in Africa, Song
of The Year in Africa, Artiste of The Year, Best Artist in Africa … Read More #BURUDANI>>>Ray C aonyesha muonekano wake mpya.Mashabiki Wampa Ushauri Mzito.Fahamu zaidi hapa.
Msanii
wa muziki Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameonyesha picha yake ya kwanza toka
asaidiwe na jeshi la polisi miezi michache iliyopita baada ya kudaiwa
kuzidiwa na matumizi ya Madawa ya kulevya
Jumatano
muimbaji huy… Read More #BURUDANI>>>>Mr Blue, Barakah Da’ Prince Wapatana.Fahamu zaidi hapa.
BAADA ya kutibuana kisa kikiwa Naj, hatimaye wakali wa Bongo Fleva, Mr Blue na Barakah Da’ Prince wameamua kuwa kitu kimoja.
Wawili hao walipatana saa chache kabla ya kufanyika Tamasha la Fiesta
Shinyanga ambapo walikuwa … Read More
0 comments:
Post a Comment