Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Dudubaya Amfundisha Mwanaye Kuvaa Condom.Fahamu zaidi hapa.
Msanii Godfrey Tumaini au Dudubaya ameonesha mfano jinsi ya kuwa baba
bora, kwa kuzungumza na mtoto wake kuhusu maambukizi ya magonjwa ya
zinaa, na jinsi ya kujikinga na magonjwa hayo kwa kutumia condom.
Akizungumza na Planet Bongo ya East Africa Radio, Dudubaya amesema huwa
anazungumza na kijana wake kwa kuwa hataki apate magonjwa ya zinaa na
kufa mapema kabla yake.
"Mwezi wa 12 mwaka jana ndiyo nilikuwa naye alikuwa amefunga shule kwa
hiyo kujiandaa kwenda form one, nilichomwambia siku moja mpaka washkaji
walicheka maskani, nikamwambia dogo sikiliza, najua sasa hivi we
unajisikia, sasa kama unajisikia unajua kuna kitu kinaitwa condom!?
akaniambia yah, unajua kuitumia!? akasema hapana, nikamwambia unajua
kuna magonjwa kama gono, kuna kaswende na UKIMWI, na sipendi utangulie
wewe kufa mimi nikabaki, ni bora mimi nife wewe ndo uje kuwa mrithi
wangu", alisema Dudubaya.
Dudubaya aliendelea kusema kuwa wazazi wengi sasa hivi hawazungumzi na
watoto wao na hatimaye watoto wanaingia kwenye mambo yasiyofaa, na
mwisho wazazi huwalaum na kuwachukulia hatua watoto, kwa makosa ambayo
wameyasababisha wenyewe.
"Mtoto anapofikia kujisikia haina sababu ya kumfungia geti, na ndiyo
maana unakuta kuna watoto wanapata maambukizi ya magonjwa kama UKIMWI,
kumbe we mzazi hukuongea na mwanao,
mzazi unatakiwa uzungumze na mwanao umwambie hivi na hivi, kwa mfano
kama mjini hapa watoto kibao wanaharibika na madawa ya kulevya, kwa
sababu mzazi huzungumzi na mtoto", Alisema Dudubaya.
Related Posts:
#BURUDANI>>>Aunty Lulu Awachana Mr Bond na Wastara...Adai Alimuokota Mr Bond Jalalani na Kumlea.Fahamu zaidi hapa.
Bifu Jipya mjini.....Aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Mr Bond Aunty Lulu
ameibuka pasipo julikana na kuanza kuwashambulia kwa maneno Mr Bond na
Mpenzi wake Wastara...
Ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram:
Auntyl… Read More
#BURUDANI>>>>>Beny Kinyaiya Afungukia Ishu Ya Ushoga, Awaanika Wanaye.Fahamu zaidi hapa.
From Global
Mtu Kati: Vipi katika kupigapiga ‘gemu za nje’, umewahi kupata mtoto au watoto?
Kinyaiya: Yaah! Nina watoto wawili, wa kwanza anaitwa Ben
Kinyaiya Junior, ana miaka minne na nusu na wa pili anaitwa Nilla, huyu… Read More
#BURUDANI>>>Lulu Diva, Amber Lulu Hakuna Bifu.Fahamu zaidi hapa.
Muuza sura kwenye video za Kibongo, Lulu Abass ‘Lulu Diva’ (pichani juu)
na mwenzake Amber Lulu (pichani chini) hawana bifu lolote isipokuwa
kuna watu wana mpango wa kuwagom-banisha.
Akichonga na Risasi Vibes, Lulu Diva … Read More
#BURUDANI>>>>Wema Sepetu, Jackline Wolper, Bosi wa GSM ndani ya China kunani?...Fahamu zaidi hapa.
Kwenye Instagram zao mastaa hao wamepost waki safiri toka dar siku moja
na wote wamepost picha wakiwa dubai same day then wote wamepost wakiwa
china same place Canton Kama Picha zinavyoonesha Location ila hawajapiga
pic… Read More
#BURUDANI>>>Flora Mvungi Kaitaja Kashfa Ambayo Hatoisahau Maishani Mwake.Fahamu zaidi hapa.
Ni headlines za msanii Flora Mvungi ambae leo October 19, 2016
amefunguka na kutaja kashfa ambayo hatoweza kuisahau maisha mwake.
Mimi sio mgeni macho mwa watu na wengi wananifahamu tabia yangu ikoje na
wengi wa… Read More
0 comments:
Post a Comment