Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>Thierry Henry Kuwa Kocha Msaidizi wa Timu ya Taifa ya Ubelgiji Kuungana na Roberto Martinez.Fahamu zaidi hapa.
Kocha mpya wa timu ya taifa ya Ubelgiji Roberto Martinez amesema
mchezaji wa zamani wa klabu za Arsenal na Barcelona, Thierry, ambaye
aling’aa sana wakati akichezea timu ya taifa ya Ufaransa, atakuwa mmoja
wa wasaidizi wake.
Henry alikuwa mmoja wa wakufunzi wa timu ya vijana Arsenal lakini
akajiuzulu Julai baada ya meneja Arsene Wenger kumwambia kwamba hawezi
kufanya kazi hiyo akiwa bado anaendelea kuwa mchanganuzi wa soka kwenye
runinga.
Wakati wa Euro 2016 Henry alikuwa akifanya kazi ya kuchambua soka katika vituo vya Sky Sports na pia alifanya kazi na BBC Sport.
Thierry Henry alikuwa kwenye kikosi cha Ufaransa kilichoshinda Kombe la Dunia mwaka 1998 nyumbani.
Related Posts:
#Video>>>>Cristiano Ronaldo akiwa kwenye show ya Jennifer Lopez Las Vegas.
Mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo ambaye hivi sasa yupo likizo
baada ya michuano ya Euro 2016, July 24 2016 alioneka akiwa Las Vegas,
Marekani kwenye show ya Jennifer Lopez.
Ronaldo ambaye wiki kadhaa alikuwa kati… Read More
LIVE UP TO DATES>>>>>>MEDEAMA 3 VS YANGA 1 (LIVE)-FULL TIME.
MPIRA UMEKWISHAAAA
Dk
90, Msuva anagongeana vizuri na Mahadhi na kuachia shuti kali kabisa,
kipa anapangua na kuwa kona. Inachongwa, kipa Paul Aidoo anaokoa tena
Dk 83 hadi 88, inaonekana hakuna matumaini tena kwa Yanga… Read More
#MICHEZO>>>>Azam yamuuza Tchetche Oman.Fahamu zaidi hapa.
MATAJIRI wa Ligi Kuu Bara, Azam wanatarajia kuingia msimu mpya wakiwa
wamegusa; benchi la ufundi na safu ya ushambuliaji na tayari imetangaza
kuachana na Kipre Tchetche aliyejificha jijini Dar es Salaam.
Azam imefanya m… Read More
#MICHEZO>>>Charles Boniface Mkwasa atangaza kikosi cha Taifa Stars kuikabili Nigeria.Fahamu zaidi hapa.
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa
ametangaza kikosi cha wachezaji 24 kitakachoingia kambini Julai 30 kwa
ajili ya kujiandaa na mchezo wa kimataifa dhidi ya Nigeria unatarajiwa
kuchezwa mwanz… Read More
#MICHEZO>>>>AZAM FC SASA INAVYOPAMBANA KUMPATA MRITHI WA KIPRE TCHETCHE.Fahamu zaidi hapa.
Katika
kuhakikisha wanaziba nafasi ya mshambuliaji wao, Kipre Tchetche
anayeusumbua uongozi wa Klabu ya Azam FC, mtendaji mkuu wa klabu hiyo,
Saad Kawemba yupo nchini Ghana kumalizana na straika hatari wa timu ya
Medea… Read More
0 comments:
Post a Comment