Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salamm, Paul Makonda ameibiwa simu jana baada ya kufanya kikao na waandishi wa habari alipokuwa na balozi wa Korea nchini na aliporudi ofisini na kutaka kumpigia mtu simu ndio alibaini simu haionekani
Thursday, 25 August 2016
Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>RC PAUL MAKONDA AIBIWA SIMU JANA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
#YALIYOJIRI>>>>RC PAUL MAKONDA AIBIWA SIMU JANA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Related Posts:
Luteni Jenerali Ndomba Amuasa Mnadhimu Mkuuwa JWTZ "Usilete Ukabila". Mnadhimu Mkuu mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba amefunguka na kumuasa Meja Jenerali, Yakubu Hassan Mohamed ambaye ameapishwa leo Februari 15, 2018 kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Uli… Read More
Vitambulisho Maalumu Kutumika Kuingia Katika Machimbo ya Mererani. Serikali imetangaza utaratibu mpya wa kuingia katika machimbo ya Tanzanite yaliyopo Mererani ambapo kuanzia Februari 15 ni lazima mtu awe na kitambulisho maalumu.Akizungumza na wachimbaji wa madini hayo jana Februari 13 mji… Read More
Kiongozi wa Chadema Auawa Kikatili Mbowe Asimulia Alivyotekwa. MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kiongozi wa chama hicho katika Kata ya Hananasif, Daniel John amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha.Akizungumza na waandishi wa habari jana Februari 13, 2018, Mbowe ali… Read More
Wazanzibar elfu 40 Wafungua Kesi Mahakamani Wakihoji Uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki(EACJ) wakihoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar-Kesi hiyo imefunguliwa katika Masijala ya Mahakama hiyo iliyoko Dar na Rashid Adiy kwa niaba… Read More
Serikali Yataja Maeneo Yanayotumika Kupitisha Dawa za Kulevya. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imebaini maeneo ya bahari kuu, bandari, vituo vya mabasi na viwanja vya ndege ndio yanatumika zaidi kupitisha dawa za kulevya.Amesema wafanyabiashara, wasambazaji na watumiaji w… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment