Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>HIVI NDIVYO MAJAMBAZI 14 WALIVYO KAMATWA WENGI NI WANAJESHI WASTAAFU.KIONGOZI WAO NI KANALI MSTAAFU WA JESHI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Inadaiwa wamekamatwa majambazi 14 na wengi wao ni askari wastaafu.
Kiongozi wa wahalifu wao anadaiwa kuwa Kanali wa Jeshi mstaafu.
=> Polisi yaweka kizuizi cha barabara eneo la Kongowe, Mkuranga, magari yote yanayotoka na kuingia Dar yanapekuliwa.
Related Posts:
Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Ijumaa.
Bonyeza Links zifuatazo Kusoma zaidi na Kuapply:
3 Job Opportunities at TIB Development Bank Limited
6 Opportunities at TANROADS Tanzania
Job Opportunity at Selcom Paytech, Head of Customer Care
Job Opportunity at Favor… Read More
Askari Polisi Wawili Wafariki, 9 Wajeruhiwa Kwenye Ajari Mbeya.
Askari wa jeshi la polisi wawili wamefariki dunia huku wengine 9
wakijeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana jioni katika eneo la
Iwambi, Kata ya Iwambi taarafa ya Iyunga jijini Mbeya
Kamanda wa Polisi Mkoa … Read More
Afya ya Tundu Lissu Yaendelea Kuimarika.
Afya ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, ambaye
anaendelea na matibabu nchini Ubelgiji, inazidi kuimarika na sasa
anaweza kufanya mambo mengi mwenyewe ikiwamo kwenda kuoga na kutembea
kwa kutumia magon… Read More
Sugu Arudishwa Tena Rumande Hadi Januari 22.
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini (CHADEMA) Joseph Mbilinyi 'Sugu' na
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyassa, Emmanuel Masonga wamerudishwa rumande
hadi Januari 22, 2018 siku ya Jumatatu ambapo kesi yake itaanza kusomwa
mfululiz… Read More
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea(CHADEMA) Aachiwa Huru na Mahakama na Kukamatwa Tena.
DODOMA: Mahakama ya Wilaya mapema leo imemuachia huru Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea(CHADEMA)
Hata hivyo Jeshi la Polisi limemkamata tena. Yadaiwa atafunguliwa mashtaka upya
Mbunge huyo kabla ya kuachiwa leo alikuwa akitu… Read More
0 comments:
Post a Comment