Home »
Burudani
» Apewa talaka baada ya kulitaja jina la msanii Chameleone wakati akifanya mapenzi.Fahamu zaidi hapa.
Mwanamke nchini Uganda amepewa talaka baada ya kulia jina la Chameleone wakati akishiriki mapenzi na mumewe
– Chameleone ameweka kisa hicho kwenye Instagram baada ya kuchapishwa na gazeti moja la Uganda
Mwanamke mmoja Uganda amepewa talaka baada ya kuliita jina la msanii
msifika Jose Chameleone wakati wakishiriki mapenzi na mumewe.
Habari hizo zimeenea kote Uganda baada ya mume huyo kuapa kumfurusha mkewe alipomlia mwimbaji huyo wa kibao maarufu Valu Valu.
Chameleone alionekana kufurahishwa na tukio hilo kiasi cha kupiga picha za habari zenyewe kwenye gazeti moja la hapo.
“Mume amfukuza mke kwa kumite Chameleone wakati wakishiriki mapenzi,” msanii huyo aliandika kwenye maelezo ya picha hiyo.
Kisa hicho kinajuia siku chache tu baada ya mwimbaji huyo maarufu wa
Uganda kushirikiana na kundi la Elani katika kolabo ya “My Darling”,
wimbo unaoangazia mapenzi, changamoto na kutoelewana kunakowakumba
wapenzi.
Related Posts:
#BURUDANI>>>>Meneja wa Diamond Platnumz Amemposti Mtandaoni Meneja wa Alikiba.Fahamu zaidi hapa.
Katika zile lugha za Kimitandao siku ya Jumatano hupewa ‘Kinashi’ cha
‘WCW’ (Woman Crash Wednesday) yaani kumposti Mwanamke aliyekonga hisia
zako na kumuhusudu zaidi.
Kilichowashangaza Mashabiki wengi zaidi kutokan… Read More
#BURUDANI>>>>Vanessa Mdee Aja na Muonekano Mpya Sasa Kama Bob Marley.Fahamu zaidi hapa.
Vanessa mdee ameamua kuingia kwenye utamaduni mpya huku akiwashangaza mashabiki wake
Ameamua kuingia kwenye utamaduni wa watu wa Raggie kama bob marley na lucky dube
Baaadhi ya mashabiki wameonekana kutokubali na muon… Read More
Hamisa Mobetto Afunguka Kuhusu Tetesi za Bifu Lake na Zari Hassan.Fahamu zaidi hapa.
Hamisa Mobetto amefunguka juu ya mahusiano yake na first lady wa Madale, Zari The Bosslady baada ya tetesi za kutoka na Diamond.
Mrembo huyo amemuambia mtangazaji wa kipindi cha The Playlist cha Times
FM, Omary Tambwe aka… Read More
Wema Sepetu Amuandikia Ujumbe Miss Tanzania Mpya.Fahamu zaidi hapa.
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amedai mshindi wa shindano la Miss Tanzania 2016, Diana Edward alistahili kuchukua taji hilo.
Kupitia Instagram, Wema ameandika:
When You Nailed that question Properly, I knew that The Crow… Read More
Barua ya Tupac Kuuzwa Shilingi Milioni 378.Fahamu zaidi hapa.
Ni miaka 20 tangu afariki rapper mkongwe, Tupac. Na sasa barua ambayo
aliiandika, mwenyewe inatarajiwa kuuzwa kwa kiasi cha $172,750 ambazo ni
zaidi ya shilingi milioni 378 za kibongo.
Kampuni ya Goldin Auctions, imesema… Read More
0 comments:
Post a Comment