Mwanahabari, Mwandishi na Mwenyekiti wa Bodi ya Gazeti la Raia Mwema
Jenerali Ulimwengu amepata ajali Dar es Salaam asubuhi mapema leo.
Yupo hospitali Muhimbili kitengo cha mifupa Moi kwa matibabu.
Tutaendelea kuwaletea taarifa.
Mwanahabari Huru
Friday, 26 August 2016
Home »
Habari Moto
» #BREAKING NEWS>>>>Jenerali Ulimwengu kapata ajali mapema asubuhi leo.Fahamu zaidi hapa.
#BREAKING NEWS>>>>Jenerali Ulimwengu kapata ajali mapema asubuhi leo.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Mtoto wa OBAMA arekodiwa Akivuta Bangi.Fahamu zaidi hapa. Mtoto mkubwa wa Rais Barack Obama – Malia Obama – anahisiwa siku kadhaa nyuma alikuwa amepewa kipisi cha bangi kuvuta na akavuta na kujikuta akirekodiwa na video za mapaparazi wa Marekani. Tukio hilo limekuja siku chache… Read More
#YALIYOJIRI>>>Climate change cause fish to vanish in Lake Tanganyika.Fahamu zaidi hapa. Miami: Fish are becoming more scarce in Africa's oldest and deepest lake, Lake Tanganyika, because of climate warming, not just overfishing, US researchers said this week.The study on Lake Tanganyika, which covers parts … Read More
#YALIYOJIRI>>>Maalim Seif ahojiwa juu ya tuhuma za ufisadi.Fahamu zaidi hapa. MAMLAKA ya Kupambana na Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA), imemhoji Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya kuwahusisha baadhi ya viongozi na watendaji wa Serikali ya Mapinduzi… Read More
#YALIYOJIRI>>>Serikali Yalifunga gazeti la Mseto kwa miezi 36.Fahamu zaidi hapa. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeamua kulifungia kwa miezi 36 gazeti la “MSETO”. Amri ya kulifungia Gazeti hilo imetolewa kwa Tangazo la Serikali Na. 242 lililotolewa tarehe 10 Agosti, 2016. Ua… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Kauli ya serikali kuhusu kuhamishwa kwa stendi ya mabasi Ubungo Jijini Dar es Salaam.Fahamu zaidi hapa. MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewapiga marufuku mawakala wanaotoza faini za kuegesha magari vibaya katika Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani cha Ubungo hadi hapo yatakapotengenezwa maeneo rasmi kwa a… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment