Ajali mbaya imetokea usiku huu maeneo ya Amani mjini Unguja ambapo gari moja la mzigo inasemekana lilifel brek na kugonga gari nyengine ambapo hadi sasa inasadikiwa takribani watu 9 hwenda wamefariki Dunia.
Kwa habari zaidi endelea kufatilia hii blog"www.hebronmalele.blogspot.com"
0 comments:
Post a Comment