Kutoka eneo la tukio Mabibo Sahara dada mmoja akamatwa kwa kuiba kiasi cha sh.Million moja kwa tigo pesa,Baada ya kutumiwa tu ndipo akaambiwa atoe hiyo ela aliyotumiwa akasema sina huku akionekana anauwoga kwa kutaka kukimbia muda si mrefu watu wakamkamata na kumuhoji.
Saturday, 27 August 2016
Home »
Habari Moto
» #Breaking News>>>>Dada mmoja akamatwa akiiba millini moja maeneo ya MABIBO SAHARA.Fahamu zaidi hapa.
#Breaking News>>>>Dada mmoja akamatwa akiiba millini moja maeneo ya MABIBO SAHARA.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
UKISIKIA Kutakatisha Fedha na Kuhujumu Uchumi, Hii Ndio Maana yake. Tumekuwa tukisikia watu wanafungwa kwa kutakatisha fedha, wengine kuhujumu uchumi, sasa leo tumempata mtaalamu kutoka Bank Kuu ya Tanzania (BoT), Meneja Msaidizi Idara ya Uendeshaji kesi na uchunguzi Ganga Mlipano kwenye… Read More
GIGY Money Afunguka Kutoa Mimba Mbili. MUUZA sura kwenye video za wasanii Bongo, ambaye mwili wake ‘umepukutika’ ghafla, Gift Stanford maarufu kama Gigy Money, amekiri kutoa mimba mbili mfululizo ambazo ndizo zilizosababisha hali hiyo. Akizoza na Za Motomoto … Read More
YUSUPH Manji Afumwa na Jora 43 za Nguo za Jeshi na Mihuru 39. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia Mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji kwa mahojiano baada ya kukutwa na jora 43 za sare za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) pamoja na … Read More
VIDEO: Kauli ya Serikali kuhusu Watanzania 21 waliotekwa DR Congo. Serikali kupitia Wizara yake ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki imethibitisha Waasi na kikundi cha waasi cha Mai-Mai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamewateka madereva 24, wakiwamo Watanzan… Read More
KIMENUKA Tena...Chenge, Tibaijuka, Kilaini walipuliwa mabilioni ya IPTL. Dar es Salaam. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imewataja vigogo wa serikali, wanasiasa na viongozi wa dini watatu walionufaika na uchotwaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow na jinsi baadhi wal… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment