KUTOKA NA TABIA YA MSANII SHILOLE KUPANDA
JUKWAANI AKIWA KAVAA NGUO ZA NUSU UTUPU NA KUWAACHA HOI MASHABIKI
ZAKE,SAFARI HII SHILOLE KAJA KIVINGINE KUTOKANA NA ONYO KALI ALILO
LIPATA TOKA BASATA NA KUAMUA KUVAA NGUO ZINAZO MSITIRI MWILI WAKE,NA
KUACHA GUMZO KWA MASHABIKI WAKE KUMUONA KAVAA HIVYO TOFAUTI NA WALIVYO
ZOEA.
HII CHINI NI VIDEO IKIONYESHA JINSI ALIVYO LISHAMBULIA JUKWAA SIKU YA FIESTA MWANZA
0 comments:
Post a Comment