Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>MASKINI HUYU KIONGOZI WA CHADEMA AVALISHWA HILI BANGO LA KARATASI NA POLISI LENYE HAYA MAANDISHI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Huu ndio mtindo ambao Polisi wameanza kuufanya kwa Viongozi wa
Kisiasa watakaokamatwa kwa makosa ya uchochezi.Hii ni kutaka jamii
iwafahamu popote watakapopita kuwa watu hawa ni wachochezi na wawaepuke.
Kuelekea Septemba Mosi,viongozi watakaokamatwa kwa kosa la kichochezi
watashikishwa mabango yanayowatambulisha kama wachochezi katika
Jamii.Hali hii ni kuanzia kwa Mwalimu na kuendeelea mpaka kwa viongozi
wengine.
Related Posts:
Wapigadebe 150 kufikishwa mahakamani.
Jeshi
la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limetangaza kukamata watu
wapatao 150 kuanzia Agosti 14 hadi 17 mwaka huu, kwa makosa ya
kuwabughuzi abiria katika maeneo mbalimbali ya jiji katika vituo vya
mabasi.
W… Read More
Mbunge Esther Bulaya Atiwa Mbaroni.
Mbunge
wa jimbo la Bunda mjini Esther Bulaya amekamatwa na jeshi la Polisi
akiwa katika Hotel ya Kifa Best Point Wilayani Tarime akidaiwa kujiandaa
kutaka kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.
Kamanda
wa polisi Tar… Read More
KUMEKUCHA...Kiongozi wa Kenya Mike Sonko Aamua Kumuiga Rais Magufuli.
Gavana mteule wa jimbo la Nairobi nchini Kenya Mike Sonko, ameingia
kitendo cha Rais Magufuli alichofanya baada ya kuingia madarakani cha
kuingia mtaani na kufanya usafi, huku akiweka kampeni maalum ya usafi.
Kwenye ukur… Read More
Ummy Mwalimu Atoboa Siri "Tezi Dume Inapimwa Kwenye Damu 'Sio Kile Kipimo Kinachotembea Mitandaoni'.
Waziri
wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee ma Watoto, Ummy Mwalimu
ametoa wito kwa wanaume kupima saratani ya tezi dume huku akiwatoa hofu
kuwa kipimo cha kupima saratani ya Tezi dume unapima kwa kutoa damu na
sio… Read More
Sababu Zilizosababisha Beki Mnigeria wa Yanga Kupigwa Chini Hizi Hapa.
YANGA
imeachana na beki raia wa Nigeria, Yisa Anifowoshe ambaye alikuwa
akifanya majaribio kikosini hapo akitokea Al Ittihad ya Oman.
Beki huyo alikuwa akipewa nafasi ya kuziba pengo la Mtogo, Vincent
Bossou, lakini akas… Read More
0 comments:
Post a Comment