Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>Polisi Wamevamia Kikao cha Ndani cha Kamati Kuu ya CHADEMA.Fahamu zaidi hapa.
Kikao cha Kamati Kuu (CHADEMA) Kinachofanyika Dar es salaam
kimevamiwa na polisi na viongozi walioko meza kuu wa natakiwa kwenda
polisi.
Kikao hicho kilikuwa kinafanyika katika Hoteli ya Giraffe iliyopo Mbezi Jijini Dar.
=> Muda mfupi uliopita Mwenyekiti wa Chama Freeman Mbowe, Naibu
Katibu Mkuu Bara John Mnyika, Katibu Mkuu Vincent Mashinji na Mjumbe wa
Kamati Kuu Edward Lowassa watakiwa polisi.
Msafara huo uko Njiani unaelekea Polisi kituo Kati baada kutaka kikao
cha kamati kuahirishwa kwamba vikao na mikutano vimezuiliwa.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>LOWASSA AFICHUA SABABU YA KUTOONEKANA KATIKA MSIBA WA SITTA NA MUNGAI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametoa ufafanuzi kuhusu
kutoonekana kwake kwenye misiba ya viongozi wawili wa zamani serikalini,
Samuel Sitta na Joseph Mungai.
Sitta, aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa, … Read More
#YALIYOJIRI>>>Meya wa West Virginia ajiuzulu baada ya kufurahia andiko lililomfananisha mke wa Obama na Nyani.Fahamu zaidi hapa.
Meya
wa mji wa Clay nchini Marekani, Beverly Whaling amejiuzulu wadhifa huo
baada ya kuunga mkono maandishi yenye ubaguzi wa rangi kwenye facebook
dhidi ya mke wa Rais Barack Obama, Michelle Obama.
Meya
huyo a… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Dr. Shein Atia Saini Sheria ya Gesi na Mafuta.Asema Wanaoikosoa ni Wachoyo na Hawana Nia Njema na Zanzibar .Fahamu zaidi hapa.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, jana amesaini sheria ya utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia ya Zanzibar.
Mbali ya kusaini sheria hiyo, amewapiga kijembe wanaoikosoa sheria hiyo kuwa ni wachoyo na wa… Read More
#YALIYOJIRI>>>Rais Dr.Congo Kabila atangaza kutowania Urais katika uchaguzi mkuu ujao.Fahamu zaidi hapa.
Rais
wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo Joseph Kabila, amewahakikishia raia
wake kwamba ataheshimu Katiba ya nchi na kwamba hatawania urais katika
Uchaguzi mkuu ujao unaotegemewa kufanyika mwaka 2018.
Akilihutubia Bunge … Read More
#YALIYOJIRI>>>Bodi ya Mikopo(HESLB) Yatangaza majina ya wadaiwa sugu kuanzia mwaka 1994 hadi 2014....Bofya Hapa Kuyaona.Fahamu zaidi hapa.
Bodi
ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inatangaza orodha ya majina ya
Wadaiwa Sugu ambao wamehitimu katika Vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juu
kuanzia mwaka wa masomo 1994/1995.
Wasugu
hao wanapewa siku 30 k… Read More
0 comments:
Post a Comment