Yanga dhidi ya Simba, leo ilikuwa bonge la mechi na limeisha kwa sare ya bao 1-1, Yanga wakianza kufunga kupitia Amissi Tambwe kabla ya Simba kusawazisha kupitia Shiza Kichuya. Cheki picha za action mambo yalivyokuwa.
Saturday, 1 October 2016
Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>>PICHA:MZIKI WA YANGA VS SIMBA ULIVYOKUWA NA KWISHA KWA SARE YA BAO 1-1.FAHAMU ZAIDI HAPA.
#MICHEZO>>>>PICHA:MZIKI WA YANGA VS SIMBA ULIVYOKUWA NA KWISHA KWA SARE YA BAO 1-1.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Related Posts:
#MICHEZO>>>KESSY NDO BASI TENA SIMBA, UONGOZI WACHUKUA MAAMUZI MAGUMU.FAHAMU ZAIDI HAPA. Kocha wa Simba Jackson Mayanja (kushoto) na afisa habari wa Simba Haji Manara (kulia) wakati wakizungumza mambo kadhaa kuhusu klabu ya yao ikiwemo kumwongezea adhabu Hassan Kessy Klabu ya Simba imeendelea kumkalia ‘kooni… Read More
#MICHEZO>>>RONALDO AKIMBIA UWANJA MADRID IKIICHAPA VILLAREAL 3-0.FAHAMU ZAIDI HAPA. Real Madrid imeshinda mchezo wake wa Jumatano usiku dhidi ya Villareal kwenye uwanja wake wa Bernabeu na kuweka hai matumaini yao kwenye mbio za taji la La Liga. Mashaiki wa Madrid walimshuhudia star wa timu yao Cristia… Read More
BREAKING NEWS>>>Okwi arudi Msimbazi, Kiiza out.Fahamu zaidi hapa. Straika Mganda, Emmanuel Okwi yupo njiani kurejea Msimbazi kwa mara nyingine. Straika huyo anayependwa na mashabiki wa Wekundu wa Msimbazi kutokana na mchango wake mkubwa, kwa sasa anacheza soka la kulipwa Denmark katika… Read More
#MICHEZO>>>YANGA INANAFASI YA KUICHAPA AL AHLY NA KUTINGA 8 BORA YA MABINGWA AFRIKA.FAHAMU ZAIDI HAPA. Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma akichuana na baeki wa Al Ahly Rami Rabea wakati wa mchezo wao wa kwanza uliochezwa kwenye uwanja wa taifa Baraka Mbolembole Mabingwa wa Tanzania bara na wawakilishi pekee wa Tanzania wa… Read More
#MICHEZO>>>Dakika 5 za niongeza zaiua Yanga Misri.Fahamu zaidi hapa. Baada ya Azam FC kufungashiwa virago na waarabu wa Tunisia timu ya Esperance kwa kipigo cha magoli 3-0, April 20 ilikuwa zamu ya Yanga ambao walikuwa ni wawakilishi wengine wa Tanzania katika michuano ya Afrika. Yanga … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment