Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>>"Shiza Kichuya" afata rekodi ya "David Beckham" baada ya kufunga goli la kona hii leo.Fahamu zaidi hapa.
Ilikuwa timu ya Yanga kupata goli Tambwe Dk 26 baada ya kugeuka na mpira ukiwa mkononi mbele ya Lufunga na kufunga kirahisi kabisa nakuleta tafulani kwa Mashabiki na Wachezaji wa Yanga na kupelekea kung'oa viti vya uwanja wa Taifa.
Timu ya SIMBA yatamba katika kipindi cha pili baada ya mchezaji wao nahodha wa Simba Jonas Mkude kupewa kadi nyekundu Dk 28 na Mwamuzi anamlamba haijajulikana kama alifanya nini.Ndipo timu ya simba ikaonyesha samba muda wote huku ikicheza pungufu ndani ya dakika ya Dk 87, Simba wanapata kona na kufungwa na "Shiza Kichuya" kona hiyo iliyoingia moja kwa moja,na kuweka rekodi iliyowekwa na mchezaji wa zamani wa Machester United aliyekuwa kifunga magoli ya kona.
Mpaka mpira unaisha "SIMBA" 1 "YANGA" 1.
Related Posts:
#MICHEZO>>>>FIFA YAILIMA FAINI SIMBA, YAPANGA KUISHUSHA DARAJA.Fahamu zaidi hapa.
SHIRIKISHO la Soka la
Kimataifa (FIFA), limeipiga faini ya Franc 2,000 za Uswisi (Sh
4,582,000), Klabu ya Simba baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kupuuza
maagizo ya Idara ya Utatuzi wa Migogoro (Desputes Resolution Cha… Read More
#MICHEZO>>>>STAR WA MANCHESTER UNITED AMEKIMBILIA KWENYE MOVIE.Fahamu zaidi hapa.
Midfielder wa Manchester United Bastian Schweinsteiger anajiandaa kucheza tangazo jipya la iPhone app, Clash of Kings.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani akiwa na kikosi cha Old
Trafford ndani ya msimu wake wa … Read More
#MICHEZO>>>WAAMUZI KUTOKA GHANA KUAMUA MECHI YA YANGA CAF.Fahamu zaidi hapa.
MWANDISHI WETU
Mwamuzi Joseph Odartei Lamptey,
Jumamosi Mei 7, 2016 anatarajiwa kuwa mwamzi wa kati katika mchezo wa
kimataifa kuwania Kombe la Shirikisho Barani Afrika utakaozikutanisha
timu za Young Africans ya Dar… Read More
#MICHEZO>>>AZAM WAKUBALI YAISHE, KUKOMAA NA KOMBE LA FA.Fahamu zaidi hapa.
SIKU moja baada ya
Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) kuipokonya pointi tatu timu ya
Azam kwa kosa la kumchezesha beki wao Erasto Nyoni aliyekuwa na kadi
tatu za njano, Uongozi wa timu hiyo umelijia juu shir… Read More
#MICHEZO>>>SAMATTA AREJEA UWANJANI GENK IKIZIDI KUTISHA LIGI KUU UBELGIJI.Fahamu zaidi hapa.
KIKOSI cha KRC Genk
anachochezea nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta leo
kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Zulte-Waregem kwenye mchezo
wa ligi kuu nchini Ubelgiji.
Genk walipata bao la
kwanz… Read More
0 comments:
Post a Comment