Home »
Burudani
» Zinaweza zikafungiwa nyimbo zetu zikachezwa za kina Nicki Minaj – Diamond.
Zinaweza zikafungiwa nyimbo zetu zikachezwa za kina Nicki Minaj – DiamondMsanii Diamond Platnumz bado anaonekana kutokubaliana na uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) wa kuzifungia nyimbo zake mbili ambazo ni Waka na Hallelujah.Muimbaji huyo akizungumza na Classic FM nchini Kenya amesema serikali ni lazima iangalie maudhui ya wimbo husika na msanii husika nini hasa alilenga.
“Huwezi kuimba nyimbo za mapenzi usitaje maneno ya kimahaba, ni uongo kwa sababu utakuwa haufikishi ujumbe,” amesema.
“Nyimbo kama Waka na Hallelujah ni nyimbo ambazo nilifikiria kufanya kitu ili soko lingine watusikilize, serikali lazima ielewe. Na kinachouma zaidi zinaweza zikafungiwa nyimbo zetu zikachezwa za kina Nick Minaj, so ni lazima tuangalie,” amesisitiza Diamond.
February 28 mwaka huu Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilipokea list ya nyimbo 15 zisizokuwa na maadili kutoka kwa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) na kuamuru kutopigwa katika vyombo vya habari. Katika list hiyo Nay wa Mitego alifungiwa nyimbo tatu na Diamond nyimbo mbili.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Chid Benz Ageukia Kilimo.
Baada ya kukaa nje ya game la bongo fleva kwa muda, Rapa Chidi Benz
amefunguka na kusema ameamua kujikita kwenye killimo akishirikiana na
mama yake mzazi ili kuweza kujikimu kimaisha.
Leo akiwa kwenye dakika 10 za maanga… Read More
MAMENEJA Sallam SK, Babu Tale, Mkubwa Fella, Wamesusa Wasanii wao Wanabanana WCB Kwa Diamond.
Nakumbuka babu tale ndie mwanzilishi na meneja wa tip top connection
kina madee, keisha, tunda, dogo janja etc... naona amekimbia lebo yake
anabanana WCB.
sallam nakumbuka ni meneja wa AY naona kamkimbia anabanana na WCB… Read More
Mwimbaji Rose Mhando Awashukia Wanaomsema Vibaya.
STAA wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amefunguka kuwa, haogopi watu
wanaomsema kwa ubaya kila kona bali anaangalia kile kilichomsababisha
kuwa mwimbaji ambaye nyimbo zake zinawabariki wengi.
Rose aliliambia Wikienda kuw… Read More
Good News: Ali Kiba Atangazwa Kuwa Mmiliki wa Kampuni ya Rockstar4000.
GOOD NEWS: #DirectorKiba ;
Baada ya kufanya kazi na kampuni ya usimamizi wa kazi zake ya
#Rockstar4000 kwa takribani miaka 6, usiku wa jana King Kiba alitangazwa
rasmi kuwa sehemu ya wamiliki wa kampuni ya #Rockstar4000 … Read More
VIDEO:Nikki Mbishi Atoa Video na Kuwadiss Waliodai Kutekwa, na Bashite.
Mwanamuziki wa miondoko ya kufoka foka, Nikki Mbishi au muite Baba
Malcom amechia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Kama
Unatafuta Kiki.
Wimbo huu umewa-diss wasanii mbalimbali nchini ambao anadai kuwa wana… Read More
0 comments:
Post a Comment