Home »
Burudani
» Diamond amtaka Lulu Diva kumzalia mtoto Rich Mavoko.
Baada ya kukanusha kwa muda mrefu, hatimaye imebainika kuwa Rich Mavoko na Lulu Diva ni wapenzi.
Aliyeweka wazi hilo ni Diamond Platnumz ambaye anafanya kazi na Rich Mavoko kupitia label yake ya WCB. Katika kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa Lulu Diva, Diamond amemwandika haya mrembo huyo.
We @luludivatz nae Utulete Mtoto sasa, Tushachoka picha zenu za Kuviziwa kwenye ma Parties😏👌🏼#AfricanBeauty
Utakumbuka Fiesta ya Dar es Salaam iliyofanyika November, 2017 kuna picha zilisambaa mtaandaoni zikiwaonyesha Rich Mavoko na Lulu Diva katika mapozi ya kimahaba ingawa wenyewe walikanusha na hilo pia ila kwa kauli hii ya Diamond ni wazi lilokuwa likisema lipo.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Wasanii waguswa na vifo vya watu 32, Arusha.Huzuni umetanda, Wilayani Karatu Arusha na Tanzania nzima baada ya
kutokea ajali mbaya ya basi iliyosababisha vifo vya wanafunzi 32 wa
darasa la saba, walimu 2 na dereva wagari la shule ya msingi iitwayo
Lucky Vicent ya Ar… Read More
Penzi la Harmonize na Wolper kwishaaa.
Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize Alhamisi hii amethibitisha kuwachana na malkia wa filamu, Jacqueline Wolper.
Huwenda wawili hao wamezingua siku za karibuni, kwani Machi 16 mwaka huu
Harmonize aliachia project yake … Read More
HARMONIZE Ataja Mkwanja Anaoingiza Youtube kwa Mwezi.
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva kutoka lebo ya WCB, Harmonize ameweka
wazi kiasi cha pesa anachoingiza kupitia mtandao wa Youtube kwa Mwezi .
Harmonize amesema watu wanashangaa kuona anatembelea magari ya kifahar… Read More
‘Wapo' ni baba lao katika nyimbo zangu zote - Nay wa Mitego.Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego amedai wimbo wake ‘Wapo’ ni
wimbo ambao umefanya vizuri kwa muda mchache kuliko nyimbo zake zote
alizowahi kuziachia katika maisha yake ya muziki.
Rapa Nay wa Mitego akiwa kweny… Read More
VANESSA Mdee Alalamika Kuchafuliwa na Afande Sele.
Muda mfupi baada ya msanii wa kitambo kwenye muziki wa kizazi kipya
Bongo, Afande Sele kusikika kwenye kituo kimoja cha redio akitoa maneno
ya kuudhi kwa wasanii Vanessa Mdee ‘Vee Money’ na Man Fongo, mwanadada
huyo ames… Read More
0 comments:
Post a Comment