Home »
Habari Moto
» Baada ya Magari ya Mwendokasi Kusitisha Huduma ya Usafiri Daladala, Bodaboda Zatumia Njia ya Mwendokasi.
Baada ya Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (Dart) kusitisha huduma za usafiri wa mwendokasi leo, baadhi ya magari madogo, daladala na bodaboda wametumia fursa hiyo kupitisha magari yao katika barabara zinazotumika na magari hayo.Mwananchi limeshuhudia daladala zikipita katika vituo hivyo huku zikishusha na kupakiza abiria katika kila kituo cha mwendokasi, huku trafiki wakielekeza baadhi ya magari kutoka kwenye barabara hizo.Hata hivyo vituo vingi vya mwendokasi vimefungwa isipokuwa kituo cha Ubungo ambacho wahudumu wameonekana wamelala huku kukiwa hakuna abiria wanaoingia katika kituo hicho.Dereva wa daladala linalofanya safari zake Mbagala Rangitatu - Simu 2000 Jafari Himid amesema kutokana na foleni iliyopo katika barabara hiyo, wameamua kutumia barabara za mwendokasi ili kuokoa muda."Bila kufanya hivi hatuwezi kuwahisha abiria na hizi barabara leo hazina matumizi, hata trafiki wanatuachia hawajatukamata," amesema Jafari.Hata hivyo barabara ya Morogoro Road ina foleni kubwa inayosababishwa na kipande cha barabara ya jangwani kujaa tope.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Washitakiwa Wanne Mauaji wa Dr. Mvungi Waachiwa Huru.Fahamu zaidi hapa.
Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru washitakiwa wanne kati ya 10
waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka ya mauaji ya bila kukusudia ya
aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi.… Read More
ALIYECHOMWA MKUKI MDOMONI ASIMULIA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
MKAZI wa kitongoji cha Upangwani, Kijiji cha Dodoma Isanga, Kata
ya Masanze, wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro, Augustino Mtitu,
aliyechomwa mkuki mdomoni na kutokea shingoni, amemshukuru Mungu,
madaktari, uongozi wa ha… Read More
VIDEO: Mchungaji Mtikila Aonekana Akiwa Hai Msukule.
VIDEO: Mchungaji Mtikila Aonekana Akiwa Hai Msukule
Bonyeza kuangalia Video:
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
Bonyeza Hapa CLICK HERE
&… Read More
Viongozi Chadema Arusha Wakamatwa Na Polisi.Fahamu zaidi hapa.
JESHI
la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu 12, wakiwemo viongozi wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Arusha.
Viongozi
hao walikamatwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo
wakit… Read More
MAKUBWA Yafichuka Faru John.Fahamu zaidi hapa.
Maofi sa wa Wizara ya Maliasili na Utalii, wataalamu kutoka Chuo Kikuu
cha Kilimo Sokoine (SUA), wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa
(TANAPA) na maofi sa Taasisi ya Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) wakiwamo
madaktar… Read More
0 comments:
Post a Comment