Home »
Habari Moto
» Mwenyekiti UVCCM Amvaa Waziri Shonza "Mnawafungia Kina Roma, Daimond Mtaimba Nyie".
Kufuatia sakata la kufungiwa kwa baadhi ya wasanii na nyimbo zao, akiwemo Roma Mkatoliki, Diamond Platnumz, Snura na wengine, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri James, amekerwa na maamuzi hayo yaliyofanywa na Basata na Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, kupitia kwa Naibu wake, Juliana Shonza.Akizungumza jana Mjini Dodoma, Kheri James alieleza masikitiko yake na kusema kuwa wizara hiyo inarudisha nyuma maendeleo ya wasanii ambao wengi wao ni vijana wanaojitafutia kipato kupitia tasnia hiyo.“Mmemfungia Roma, mmemfungia Diamond na wengine, kila anaenyanyuka mamkata mguu, hivi mnavyowafungia mtaimba nyie?“Kama wizara itendelea na tabia hiyo ya kuwafungia wasanii, na wao ndio viongozi wa sanaa je watamsimamia nani wakishawafungia wote?” alihoji Kheri.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>Tamko La Waziri Wa Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto Kuhusu Watoto Waliomaliza Elimu Ya Msingi Lililotolewa Tarehe 09/09/2016.Fahamu zaidi hapa.
TAMKO
LA MHESHIMIWA UMMY MWALIMU (MB) WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII,
JINSIA, WAZEE NA WATOTO KUHUSU WATOTO WALIOMALIZA ELIMU YA MSINGI
LILILOTOLEWA TAREHE 09/09/2016
Ndugu
Wanahabari, Nitumie fursa hii kupitia … Read More
#YALIYOJIRI>>>Rais Magufuli ateua Makatibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa na Mara.Fahamu zaidi hapa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe
09 Septemba, 2016 amemteua Bw. Ado Steven Mapunda kuwa Katibu Tawala wa
Mkoa wa Mara.
Bw. Ado Steven Mapunda anachukua nafasi iliyoachwa wazi… Read More
#YALYOJIRI>>> Operesheni Dadapoa, Kakapoa Dar es Salaam Yashika Kasi.Fahamu zaidi hapa.
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema linafanya
operesheni ya kuwakamata wamiliki wa nyumba za kulala wageni wanaofanya
biashara kinyume cha sheria.
Taarifa iliyotolewa na Kamishna wa Kanda hiyo, Simon … Read More
#YALIYOJIRI>>>>Makamu Wa Rais Atembelea Kituo Cha Kuchakata Gesi.awataka wafanyakazi kufanya kazi kwa uzalendo.Fahamu zaidi hapa.
Makamu
wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewataka wafanyakazi wa kiwanda
cha kuchakata gesi asilia kilichopo Madimba mkoani Mtwara wawe
wazalendo na wafanye kazi kwa bidii katika kulinda na kuutunza uwekezaji
hu… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Mama Rwakatare awatoa wafungwa 12 gereza la Keko.Fahamu zaidi hapa.
Mchungaji wa kanisa la Mikocheni B Assemblies of God, Askofu Dr Getrude
Rwakatare, amewatoa wafungwa 12 waliokuwa wamefungwa kwenye gereza la
Keko jijini Dar es Salaam huku lengo ni kuwatoa wafungwa 78 waliofungwa
kwa ku… Read More
0 comments:
Post a Comment