Wanafunzi wa darasa la saba ambao watafanya mtihani mwaka huu watakutana na mabadiliko ya mfumo wa utungaji wa mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi .Mabadiliko hayo yamefanywa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) jana na kutangazwa na Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Dk Charles Msonde.Ofisa Habari wa Necta, John Nchimbi amesema mabadiliko hayo aliyatangaza Dk Msonde katika mkutano mkuu wa tano wa maofisa elimu mkoa na wilaya unaofanyika Dodoma.Nchimbi amesema katika muundo huo mpya kila somo litakuwa na maswali 45, kati ya hayo, maswali 40 yatakuwa ya kuchagua jibu sahihi na matano yasiyo ya kuchagua (yatakuwa ya kujieleza/kuonyesha njia na jibu nk).Amesema maswali 40 kila swali litakuwa na alama moja na maswali matano kila swali litakuwa na alama mbili huku majibu ya maswali 40 yatajibiwa kwenye OMR FORM na maswali matano yatajibiwa kwenye karatasi maalum itakayoandaliwa.Kutokana na muundo huo mpya, Necta imetoa wito kwa walimu wakuu kuanza kuwapima wanafunzi kwa kutumia mabadiliko hayo ili kuwajengea uzoefu.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>Kuna Chakula Cha Kutosha Nchini- Waziri Tizeba.Fahamu zaidi hapa.
Na Beatrice Lyimo- MAELEZO.
Serikali
imetoa kauli kuhusu hali ya chakula nchini na kusema kuna chakula cha
kutosha pamoja na ziada ya asilimia 123. Ziada hiyo ya chakula inatokana
na uzalishaji wa msimu wa mazao mwaka … Read More
#YALIYOJIRI>>>UKAWA Wapanga Kulifikisha Jeshi la Polisi Mahakama Kuu.Fahamu zaidi hapa.
Ukawa
wamedai wafuasi wake 38 wapo rumande za polisi kwa muda mrefu, huku
Chadema ikisema Jumanne ijayo itawasilisha ombi Mahakama Kuu kutaka Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini aitwe kueleza sababu za kushindwa kuwafikisha
… Read More
#YALIYOJIRI>>>PICHA:5 ZA MUONEKANO WA NDANI WA JENGO JIPYA LA J.K. NYERERE AIRPORT TERMINAL 3 JIJINI DAR.
Muonekano wa ndani wa jengo jipya la Abiria la Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa J.K. Nyerere, jijini Dar es salaam ambalo bado linaendelea
na Ujenzi.
… Read More
#YALIYOJIRI>>>.UKAWA Watibuana Tena na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson.Fahamu zaidi hapa.
Mvutano
umeibuka kati ya Naibu Spika, Dk Tulia Ackson na wasemaji wa kambi ya
upinzani walipokuwa wakisoma maoni yao kuhusu miswada iliyowasilishwa
bungeni baada ya kusoma utangulizi uliokuwa nje ya hoja.
Katika
Bun… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Tamko La Waziri Wa Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto Kuhusu Watoto Waliomaliza Elimu Ya Msingi Lililotolewa Tarehe 09/09/2016.Fahamu zaidi hapa.
TAMKO
LA MHESHIMIWA UMMY MWALIMU (MB) WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII,
JINSIA, WAZEE NA WATOTO KUHUSU WATOTO WALIOMALIZA ELIMU YA MSINGI
LILILOTOLEWA TAREHE 09/09/2016
Ndugu
Wanahabari, Nitumie fursa hii kupitia … Read More
0 comments:
Post a Comment