Home »
Michezo
» Baada ya Kuumia Mazoezini Jana Jonas Mkude Haya Hapa Majibu ya Daktari.
Kiungo mchezaji wa Simba, Jonas Mkude, aliumia jana wakati kikosi hicho kikijiandaa na mazoezi kuelekea mchezo ujao wa ligi dhidi ya Njombe.Mkude aliumia wakati akiwania mpira na kiungo mshambuliaji, Mzamiru Yassin na kuepelekea kuanguka chini kisha kutolewa nje ya Uwanja wa Boko Vetarani.Kufuatia kuumia huko, kwa mujibu wa Afisa Habari wa Simba, Haji Manara, Daktari wa timu hiyo, Yassin Gembe, alisema Mkude hajapata maumivu makali, na anaweza akarejea baada ya siku mbili mpaka tatu.Wakati Simba inajiandaa kuivaa Njombe Mji, Aprili 3 2018, kumekuwa na hofu kubwa kwa mashabiki kama ataweza kurejea mapema, japo majibu ya Daktrari yameeleza hatachukua muda mrefu.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#MICHEZO>>>>>WALCOTT 'SHOZINIGA' WA ARSENAL, APIGA MBILI, VIJANA WA WENGER WAIBUKA NA USHINDI WA 2-0 VS BASLE LIGI YA MABINGWA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
ARSENAL (4-2-3-1):
Ospina 6.5; Bellerin 8, Mustafi 7, Koscielny 7, Monreal 7; Cazorla 7.5,
G Xhaka 7; Walcott 8.5 Oxlade-Chamberlain 70), 6 Ozil 7.5, Iwobi 7
(Elneny 70, 6); Sanchez 8.
Subs not used: Cech, Gibbs,… Read More
#MICHEZO>>>>MO DEWJI AFANYA YAKE SIMBA, AMWAGA MAMILIONI YA MISHAHARA, AAHIDI KULIPIA KODI NYASI BANDIA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Klabu
ya Simba inayo furaha kubwa ya kutangaza kumshukuru mlezi wake bwana
Mohammed Dewji kwa kuanza kutekeleza ahadi zake kwa vitendo.
Dewji
maarufu kama Mo tayari ameshaanza kulipia m… Read More
#MICHEZO>>>KAZI NYINGINE KWA SAMATTA NI LEO EUROPA CUP, NI DHIDI YA WAITALIANO.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mshambuliaji Mbwana Samatta, atakuwa na kazi wakati KRC Genk itakapokuwa inawavaa Waitaliano US Sasuolo.
Mechi hiyo ya Kundi F katika michuano ya Europa itakuwa ni gia nyingine KRC Genk kujiweka vizuri katika mi… Read More
#MICHEZO>>>>>SIMBA YAIKALIA VIBAYA YANGA SUALA LA KESSY, HATIHATI KUPOTEZA POINTI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Simba
imeikalia pabaya Yanga katika suala la beki Hassan Kessy na taarifa
zinaeleza kwamba, iwe isiwe, huenda Yanga inaweza kupoteza pointi katika
mechi zote ilizomtumia beki huyo.
Taarifa
zinaeleza, kamati iliyok… Read More
#MICHEZO>>>Kocha wa timu ya taifa ya England abwaga manyanga.Fahamu zaidi hapa.
Kocha wa timu ya taifa ya England Sam Allardyce, ama Big Sam, ameachia ngazi.
Kocha wa timu ya taifa ya England Sam Allardyce, ama Big Sam, ameachia ngazi kuendelea kuinoa timu h… Read More
0 comments:
Post a Comment