Home »
Habari Moto
» Mahakama Kuu Iimetoa Amri kwa Serikali Kupeleka Majibu Juu ya Abdul Nondo.
Mahakama Kuu leo imetoa amri kwa serikali kuweza kupeleka majibu ya maombi yaliyofunguliwa na Mawakili wa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini Abdul Nondo kujibu kesi ya kutompeleka Mahakamani kwa zaidi ya siku 10 tangu kukamatwa kwake.Amri hiyo imetolewa leo Jumatano ya Machi 21 ambapo Mahakama kuu mbele ya Jaji Sameji iliwataka DCI,IGP na AG kufika mahakamani kwa ajili ya kujibu mashtka juu ya Nondo ambapo leo majibu ya maombi hayo wyametakiwa yapelekwe Machi 26 na walalamikaji kupeleka majibu yao ya nyongeza yapelekwe Machi 27.Aidha mahakama inatarajiwa kusikiliza maombi ya pande zote mbili 04/08/18 kutoa hatma ya Abdu Nondo.Kwa upande mwengine kesi ya mwanafunzi huyo (Nondo) iliyosikilizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa imeahirishwa mpaka Jumatatu ya tarehe 26 March 2018 ambapo Hakimu atatoa uamuzi kwamba mshitakiwa apewe dhamana ama asipewe dhamana, mshitakiwa amerudishwa rumande.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Rais wa Gambia: Hakuna wa kunitoa Madarakani, labda Mungu Pekee.Fahamu zaidi hapa.
Rais
wa Gambia Yahya Jammeh amesema kuwa atakataa jaribio lolote la viongozi
wa eneo la magharibi mwa Afrika la kumlazimisha kuondoka madarakani
licha ya kushindwa katika uchaguzi na mpinzani wake, Adama Barrow.
Akih… Read More
Rais Kenyatta wamefungua kiwanda cha kuundia magari hayo nchini Kenya.Fahamu zaidi hapa.
Rais Uhuru Kenyatta na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Volkswagen, Dk. Herbert Diess, wamefungua rasmi kiwanda cha kuundia
magari hayo nchini Kenya, hii ikimaanisha kuwa sasa Volkswagen zitaundwa
Afrika Mashariki.
… Read More
Ahukumiwa Miaka 25 Jela Au Faini Bilioni 3.7 Kwa Kujihusisha na Biashara ya Meno ya Tembo.Fahamu zaidi hapa.
Mahakama
ya Hakimu Mkazi Tanga, imemtia hatiani na kumuhukumu kwenda jela miaka
25 au kulipa faini ya Sh bilioni 3.7 mfanyabiashara Charles Kijangwa kwa
kujihusisha na biashara ya meno ya tembo.
Kijangwa
alihu… Read More
Jeshi la Polisi Lasema Linaendelea kuchunguza alipo msaidizi wa Mbowe, Ben Saanane.......Latoa ufafanuzi kuhusu maiti saba.Fahamu zaidi hapa.
Ukiwa
umetimia mwezi mmoja, baada ya Msaidizi wa Freeman Mbowe ambaye ni
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benard
Saanane (pichani) kupotea, Jeshi la Polisi limesema linachunguza taarifa
za kup… Read More
Polisi yamnasa mtuhumiwa Sugu wa utapeli Tanzania.Fahamu zaidi hapa.
Jeshi
la Polisi nchini limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa wa utapeli
anayejulikana kwa jina la Wilfred Masawe (36) , mkazi wa Buza, Temeke
jijini Dar es Salaam.
Kwa
mujibu wa taarifa iliyotole… Read More
0 comments:
Post a Comment