Home »
Habari Moto
» MAREKANI: Rais Trump ametoa amri ya kufukuzwa kwa wanadiplomasia 60 wa Kirusi.
MAREKANI: Rais Trump ametoa amri ya kufukuzwa kwa wanadiplomasia 60 wa Kirusi, kufuatia Urusi kuhusishwa na shambulio la sumu kwa Jasusi wa zamani raia wa Urusi nchini Uingereza
Tayari nchi za kadhaa za Ulaya zikiwemo Ujerumani, Ufaransa na Ukraine zimetangaza kuwafukuza wanadiplomasia wa Kirusi katika nchi zao
Viongozi wa EU walikubaliana wiki iliyopita kuwa inawezekana sana Urusi ilihusika katika shambulio la sumu la Sergei Skripal(Jasusi) na binti yake kusini mwa Uingereza
Hata hivyo, Urusi imepinga kuhusika na shambulio hilo
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Breaking News: Mbowe na Viongozi wa Chadema Waachiwa Kwa Dhamana.
Viongozi wa Chadema wakiongozwa na mwenyekiti wao, Freeman Mbowe wametimiza masharti ya dhamana na kuachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Machi 3, 2018. Mahakama hiyo imejiridhisha na nyaraka za udhamini z… Read More
Old Shule ya Sekondari Tanga inateketea kwa moto.
Shule ya Sekondari Old Tanga inateketea kwa moto ulioanza leo mchana Jumatano Sept. 18, 2019.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Edward Bukombe amesema chanzo cha moto huo ulioteketeza chumba cha mikutano na cha kuhifadhi … Read More
Breaking News: Freeman Mbowe na Viongozi Wengine wa Chadema Wafikishwa Mahakamani.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na viongozi wengine wa chama hicho, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayowakabili.
Viongozi wa CH… Read More
Mwenyekiti UVCCM Amvaa Waziri Shonza "Mnawafungia Kina Roma, Daimond Mtaimba Nyie".
Kufuatia sakata la kufungiwa kwa baadhi ya wasanii na nyimbo zao, akiwemo Roma Mkatoliki, Diamond Platnumz, Snura na wengine, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri James, amekerwa na maamuzi ha… Read More
Wabunge wa Upinzani Wasusia Bunge Viti Vyao Vyabaki Tupu.
Wabunge wa upinzani wakiwamo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ni kama wamesusia Mkutano wa 11 wa Bunge ulioanza vikao vyake mjini Dodoma jana huku viti vyao vikionekana vitupu.Aidha, kutokana na kutokuwapo bu… Read More
0 comments:
Post a Comment