Home »
Habari Moto
» Breaking News: Freeman Mbowe na Viongozi Wengine wa Chadema Wafikishwa Mahakamani.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na viongozi wengine wa chama hicho, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayowakabili.
Viongozi wa CHADEMA wengine waliofikishwa Mahakamani ni Katibu Mkuu Dr. Vincent Mashinji, Mbunge wa Kibamba John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalim, Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa na Ester Matiko Mbunge.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>Dk Slaa Aingilia Kati Ugomvi wa Godbless Lema na RC Gambo.Huu Hapa ni Ujumbe Wake.Fahamu zaidi hapa.
Ugomvi
wa maneno kati ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na Mbunge wa
Arusha Mjini, Godbless Lema limemuibua katibu Mkuu wa zamani wa Chadema,
Dk Wilbroad Slaa aliyeandika ujumbe mrefu akimkingia kifua mbunge huyo.… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Majambazi Hatari Wauawa.....Bunduki 9 Zakamatwa.Fahamu zaidi hapa.
Jeshi la polisi limedai kwamba limeua majambazi wawili hatari
na kukamata bunduki tisa, kati ya hizo SMG saba, shotgun moja na riffle
moja, risasi 473 na magazini 16 baada ya majibizano ya risasi katika
misitu ya M… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Mahakama Yamfutia Shtaka la Unyang’anyi wa Kutumia Silaha Scorpion.Fahamu zaidi hapa.
Mahakama ya Wilaya Ilala jijini Dar es Salaam leo imemfutia shtaka la
unyang’anyi wa kutumia silaha, Salum Njwete maarufu kwa jina la
Scorpion baada ya upande wa mashtaka kuomba shtaka hilo liondolewe
mahakamani ha… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Kikosi Kazi Cha Jeshi La Wananchi (JWTZ) Cha Wasili Kagera Kwa Ajili Ya Kujenga Miundombinu Iliyoathiriwa Na Tetemeko La Ardhi.Fahamu zaidi hapa.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salimu Kijuu(mwenye
Suti)akisikiliza maelezo juu ya kikosi kazi cha askari waliokuja kujenga
miundo mbinu ya umma iliyoathiriwa na tetemeko la ardhi.
Kikosi kazi cha … Read More
#YALIYOJIRI>>>>Waziri Kairuki Afanya Ziara Dar, Kinondoni Kukagua Mradi Wa TASAF.Asisitiza Waliotafuna Fedha Hizo Watatumbuliwa.Fahamu zaidi hapa.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Angella Kairuki amesema atahakikisha anawachukulia hatua watendaji
wote, walioshiriki katika udanganyifu wa kuingiza kaya zisizostahili
ka… Read More
0 comments:
Post a Comment