Home »
Michezo
» MOURINHO AGEUKA KUWA MBOGO, HAMTAKI POGBA KIKOSINI.
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, ameshindwa kuvumulia kelele zinazoendelea mitandaoni baada ya kusema rasmi hamuhitaji mchezaji Paul Pogba kwenye kikosi chake.
Kauli hiyo imekuja kutokana na wawili hao kuteka vichwa vya habari kwa muda mrefu kuwa hawana mahusiano mazuri.
Taarifa zinaeleza kuwa Mourinho ameitaka klabu yoyote inayomuhitaji mchezaji huyo iweke ofa mezani ili wakubaliane maana hana mpango naye.
Toni Kroos ametajwa kama mbadala anaywezeka kurithi nafasi ya Pogba kwenye kikosi cha United endapo ataondoka klabuni hapo.
Pogba alijiunga na mashetani hao wekundu mwaka 2016 kwa dau la uhamisho wa dunia wa £89m.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#MICHEZO>>>Timu za Azam na Simba zaiyakikishia ubingwa Timu ya Yanga.Fahamu zaidi hapa.
Matokeo ya sare kati ya Simba dhidi ya Azam yanaifaidisha Yanga
ambayo imeendelea kukaa kileleni mwa ligi bila presha kubwa kutoka kwa
Simba na Azam ambazo zimeshindwa kupata matokeo ya ushindi ili
kuisogelea Yanga kilel… Read More
#MICHEZO>>>HATIMAYE KOCHA WA ARSENAL ..ARSENE WENGER AKUBALI YAISHE KWA MASHABIKI.Fahamu zaidi hapa.
Wakati shinikizo la kutakiwa kuondoka likiendelea kupamba moto katika
mitaa mbali mbali ya kaskazini mwa jijini London, meneja wa klabu ya
Arsenal, Arsene Wenger amesalimu amri kwa kukubaliana na hali halisi.
Wenger amb… Read More
#MICHEZO>>>>>WAKATI SIMBA IKIBANWA NA AZAM, MWINYI KAZIMOTO ALIKUWA AKISHEREKEA NDOA.Fahamu zaidi hapa.
Kiungo mkongwe wa wekundu wa Msimbazi Simba Mwinyi Kazimoto, hakuwepo
kwenye kwenye kikosi cha Simba kilichocheza dhidi ya Azam FC kwenye
mchezo wa ligi kutokana na kuwa mapumzikoni kufuatia kufunga ndoa
Jumamosi April 3… Read More
#MICHEZO>>>Manchester unite yaipunguzia kasi ya kutangaza ubingwa wa Ligi ya Uingeleza Leicester.Fahamu zaidi hapa.
Manchester United (4-1-4-1): De Gea 6.5; Valencia
6.5, Smalling 6.5, Blind 6, Rojo 5; Carrick 7; Lingard 5 (Mata 61mins),
Rooney 7.5, Fellaini 5 (Herrera 74), Martial 7,5; Rashford 6 (Depay 82)
Subs (not used): Ro… Read More
PICHA 13>>> FARID MUSA ANAVYOWASHIKA SPAIN ZIKO HAPA.
Farid
ameongezewa muda wa wiki moja zaidi kufanya majaribio kwenye klabu ya
Tenerife baada ya kulivutia benchi la ufundi la klabu hiyo
Kinda wa Azam FC Farid Musa anaendelea kufanya vizuri kwenye
majaribio nchini Hispani… Read More
0 comments:
Post a Comment