Saturday 8 October 2016

#BURUDANI>>>>Amber Lulu na Gigy Money Hapatoshi..Amber Adai Gigy Money Ana Fangasi Sugu.Fahamu zaidi hapa.

 Baada ya tetesi kuwa Mrembo Amber Lulu amekatwa Arusha na Madawa ya kulevya Gigy Money alihojiwa na Soudbrown kwenye U Heard na Kuongea maneno ambayo hayakumfurahisha Amber lulu...Sasa Amber Lulu Ameibuka huko alipo na kuandika haya:


"Muda ambao unaangaika kutafuta kiki ungekuwa unajifunza kuosha k na kutibu izo fangasi suguu ulizo nazo @gigy_money don't compare with me iz levels chokoraaaa paka la ambiance stay away from me"

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi

Bonyeza Hapa CLICK HERE
 

0 comments:

Post a Comment